johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,035
- 142,140
Mungu ni mwema wakati wote!Hii ni habari njema.
Nani kasema ni leo bwashee?Dira ya dunia jumamosi Leo
Hakika wamekuelewa
Ulitolewa na nani? Lini?!!!🤣🤣🤣🤣🤣🤣 na ule mkopo wa Covid-19 umeusahau Bwashee?
Ule haukuwa mkopo bali msaadana ule mkopo wa Covid-19 umeusahau Bwashee?
Maskini wee kumbe ndio maana wanalazimisha media zitangaze "Wana wagonjwa wengi wa uviko" ila camera zinashindwa kuingia mawodini na kutuonyesha waliolazwa! Aibu yenu Kenya!Hapo ndio uone Kuna shida mahali
BBC wamezungumzia madeni siyo mazishi bwashee!Twambie watu wangapi tulizika usiku na watu wangapi Kenya ilizika usiku ili tulinganishe thamani yake vizuri.
Ulitolewa na nani? Lini?!!!
Ufafanuzi Tafadhali.