#COVID19 BBC na Corona: Kenya tayari ina deni la $ 1.5 bilion za Marekani, Tanzania haina deni lolote hadi sasa

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
82,754
139,571
BBC Dira ya Dunia imefanya tathmini ya mikopo waliyopewa nchi wanachama wa jumuiya ya Afrika Mashariki ili kukabiliana na janga la Corona ikiwemo uhifadhi na usafirishaji salama wa chanjo.

BBC imegundua kuwa Kenya na Rwanda ndio zimepewa mikopo mikubwa na nchi wahisani na hivyo kuwaongezea kwa kiasi kikubwa deni la taifa.

Kwa mujibu wa BBC hadi sasa Tanzania ndio nchi pekee isiyodaiwa mkopo wa Corona popote pale duniani.

Source: BBC Dira ya Dunia

Mungu ni mwema wakati wote!
 
Usiwaamini hao BBC Swahili ni WAKURUPUKAJI
Ulitolewa na nani? Lini?!!!


Ufafanuzi Tafadhali.
 
15 Reactions
Reply
Back
Top Bottom