BBC msitutanie, ina maana Tanzania haina Kiongozi yoyote Mfujaji mliyemwona katika PANDORA PAPER?

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
8,011
16,748
Siwezi kuamini na nitakataa mpaka Pumzi yangu ya mwisho huyu Kiongozi Mr. Smile Mswahili Pwani BBC na PANDORA PAPER yenu hamjamkuta kuwa amejilimbikizia sana Mali na Kuinyonya mno Tanzania.

Kwa nimjuavyo Mr. Smile Mswahili Pwani na alivyokuwa Mjanja Mjanja huku akiwa Kazungukwa na Wapigaji watupu Mightier nitakuwa wa mwisho kuamini kuwa hajaliibia Taifa la Tanzania na hata Kujitajirisha nalo na Kakosekana katika BBC PANDORA PAPER iliyotoka.

Na Utajiri wake tu ameufichia Malaysia.
 
Sasa nawewe usiwe kama BBC kwanza elezeaPANDORA PAPER ni nini? Ilikua je? Wanatumia vigezo gani? Ulitaka awekwe nani hapa TZ kwa kigezo kipi?

Hapo ndo tutachangia vzri na kukusupporti hoja yako
 
Mwenyewe nimeshangaa sana...mwanzoni nilijua ni vile data ziko tele so bado list haijawafikia. Ila hata uki-search kwa kuangalia nchi husika Tanzania haipo kabisa 😏😏

Au ndugu zetu zao wameficha ndani?

Screenshot_20211005-105704_Chrome.jpg
 
Bbc na mabeberu walishamalizana na JPM,ni zamu ya kenyatta Sasa.

Systems ni ileile tu ya kikoloni DIVIDE AND RULE,
Mnafarakanishwa waafrica Kisha mnatawaliwa.Kila mmoja KWA wakati wake atakula Nyundo ya kichwa.
 
Hili swali waulizwe Bavicha na kaka zao,wao na Zito walisema JPM kala 1.5trillion.

Vp wao nao KWA nn wasilete list yao,so wamechelewa kuwapa mabwanyenye wao majina ya TZ?
 
Mna taka kusema zile za ktk masandalusi? Au mgao wa umeme wanaita nn sijui!?
 
Bbc na mabeberu walishamalizana na JPM,ni zamu ya kenyatta Sasa.

Systems ni ileile tu ya kikoloni DIVIDE AND RULE,
Mnafarakanishwa waafrica Kisha mnatawaliwa.Kila mmoja KWA wakati wake atakula Nyundo ya kichwa.
Sio kila jambo lazima mtu uchangie hata kama hulijui!!mengine unaacha tu yanapita, sasa BBC kwenye huu uchunguzi wa PANDORA PAPER, inahusika vipi?wao wameripoti kama chombo cha habari tu, kuwa na KENYATA, na familia yake wamo humo, kosa lao ni nini?

Na sio yeye tu kuna bongo, sasongweso.Tatizo la Afrika ni ujinga kama unavyouonyesha wewe, mala eti kutugawa kisha watutawale, mnaonyeshwa jinsi viongozi wenu wanavyowanyonya badala ya kuamka, mnaanza tena kuwaona wabaya kuwa hawawatakii mema!

Mfano ktk hiyo ripoti angekuwemo JPM, ungesikia watu wanavyokuja juu kuwa hao ni mabeberu hawatatutakii mema, wakati mnaibiwa, ndio maana miaka 60, hadi leo maji tu bado ni shida!!
 
Sio kila jambo lazima mtu uchangie hata kama hulijui!!mengine unaacha tu yanapita, sasa BBC kwenye huu uchunguzi wa PANDORA PAPER, inahusika vipi?wao wameripoti kama chombo cha habari tu...
Wewe mzungu tuache sisi black tuendelee na mambo yetu,wewe ukoloni ulishakutafuna KWA kuwaabudu wazungu vilivyo.

Hivi KWA ujinga wako hujawahi fatilia na kujua kama BBC,CNN,DW n.k ni ma agent wa wanyonyaji?

We ni huna akili kabisa,tuache sisi tunaouona ubarazuri wao KWA africa waendelee kutawaliwa na ukoloni mambo leo
 
Siwezi kuamini na nitakataa mpaka Pumzi yangu ya mwisho huyu Kiongozi Mr. Smile Mswahili Pwani BBC na PANDORA PAPER yenu hamjamkuta kuwa amejilimbikizia sana Mali na Kuinyonya mno Tanzania...

Wewe unahangaika nini andika nawewe Mightier PANDORA PAPER umuweka mzee wa Usoga watu watakupongeza kwa uvumbuzi na kipaji chako
 
Kwa nimjuavyo Mr. Smile Mswahili Pwani na alivyokuwa Mjanja Mjanja huku akiwa Kazungukwa na Wapigaji watupu Mightier nitakuwa wa mwisho kuamini kuwa hajaliibia Taifa la Tanzania na hata Kujitajirisha nalo na Kakosekana katika BBC PANDORA PAPER iliyotoka.
BBC wameamua kuwa wachezaji wa ziada/hiary wa uchaguzi mchafu wa Kenya
 
Bbc na mabeberu walishamalizana na JPM,ni zamu ya kenyatta Sasa.

Systems ni ileile tu ya kikoloni DIVIDE AND RULE,
Mnafarakanishwa waafrica Kisha mnatawaliwa.Kila mmoja KWA wakati wake atakula Nyundo ya kichwa.
Kwanza unaelewa maana ya Pandora papers??
 
Siwezi kuamini na nitakataa mpaka Pumzi yangu ya mwisho huyu Kiongozi Mr. Smile Mswahili Pwani BBC na PANDORA PAPER yenu hamjamkuta kuwa amejilimbikizia sana Mali na Kuinyonya mno Tanzania...
Umasikini wako uko kwenye DNA kabisa, unadhani labda umeibiwa au angesomeka Kikwete kwenye Pandora ungepata nafuu.
 
Wewe mzungu tuache sisi black tuendelee na mambo yetu,wewe ukoloni ulishakutafuna KWA kuwaabudu wazungu vilivyo...
Hao wanyonyaji, mbona kila leo wanapisha ikulu yako, na unawalilia shida zako kila siku?!!hahaaa, na wanapokupa pesa unawaita washiriki wa maendeleo
 
Back
Top Bottom