BBC, DW, VOA, Aljazeera yamtangaza Lowassa dunia nzima

Mitaa yote ya Paris St Germany, Aston Villa, Chelsea, Bayern Munich, Liverpool, Manchester, Arsenal Wenger, West harm, NBA, Barcelona, Real Madrid, David Beckham, UEFA n.k

Yooote ilijaa watu kwenye big screens kushuhudia ujio wa Lowasa ukawa.
 
Sasa mimi nashangaa!!! kwa hiyo ulitaka wasitangaze kama moja ya sehemu ya matukio yanayojiri?
 
Nipo hapa kigali,najiandaa kurud arusha,
nipo napata breakfast,mazungumzo yao ni tanzania politics and the name is lowasa................sijui nikifika minjingu itakuwaje
 
Habariii kutoka boooooooooon.Aliyekuwaaaa waziri mkuuu mstaaafu wa Tanzania Mj Lowasaaaa amepiga tekeee chama chake cha sisieeemuuuuu na kujiunga na chademaaaaaa..hayo yanajiiiiri baada ya jina lakeeeee kukatwaaa kwenye kinyanyanuiro cha uraisiiiii..mimi ni umuuni khyeeeeirrrr

I like it.
 
Ridhiwani wa jk ajiandae kueleza uhalali wake wa kumiliki mgodi huko skonge. Alisema rais wa awamu ya 5 hawezi kutoka kaskazini, ngoja tusubiri tuone.
 
Hapa Anchorage Alaska mji mzima unarindima kushangilia Lowassa kuhamia Ukawa. Nilikuwa pale Victoria huko Canada British Columbia nikawa nasikia watu wanashangilia mitaaa ikiwa imefungwa na polisi wakiwa wanaongoza maandamao
Kichuguu achana na ya huko majuu bwana, mie jana jioni narudi nyumbani nimeshangaa familia yangu inanipokea kwa furaha na bashasha huku watoto wakipiga kelele ' baba baba, ni Lowasa sasa' mpaka nikapigwa bumbuwazi.
Sasa nenda kwenye 'menu' ni balaa! Mama watoto aliandaa msosi murua kabisa ambao kwa nimjuavyo huo huwa special siku zile anazokuwa na furaha. Sasa nimegundua, ili familia yangu iwe na furaha basi lazima kura yangu iende kule wanakopenda wao.
Haya waweza kuyaona ni masihara lakini ndio ukweli wenyewe. Kwanza sikudhani kuwa nao ni wafatiliaji wa siasa za nchi hii, kumbe nilikuwa wrong.
 
Last edited by a moderator:
rangi halisi ya chadema imedhihiri.
Ni chama cha maslahi, ulaghai na hakina misingi kinayo isimamia.

Lowassa ni mchafu hasafishiki hata kwa jiki.
 
Hapa Anchorage Alaska mji mzima unarindima kushangilia Lowassa kuhamia Ukawa. Nilikuwa pale Victoria huko Canada British Columbia nikawa nasikia watu wanashangilia mitaaa ikiwa imefungwa na polisi wakiwa wanaongoza maandamao

Du Victoria wazee wa kuvuka maji kutoka Vancouva wanamfahamu EL!!!! :canada:
 
Mitaa yote ya Paris St Germany, Aston Villa, Chelsea, Bayern Munich, Liverpool, Manchester, Arsenal Wenger, West harm, NBA, Barcelona, Real Madrid, David Beckham, UEFA n.k

Yooote ilijaa watu kwenye big screens kushuhudia ujio wa Lowasa ukawa.

Duh! Wewe ndio umetisha zaidi :smile:
 
Back
Top Bottom