BBC, DW, VOA, Aljazeera yamtangaza Lowassa dunia nzima

BBC, DW, VOA, Aljazeera yamtangaza Lowassa dunia nzima

Buju

Senior Member
Joined
Aug 9, 2013
Posts
162
Reaction score
53
Hakika E.L amepata coverage kubwa kwa redio na runinga za kimataifa kwa kuweka historia ya kuwa kiongozi wa juu kukihama ccm na kujiunga na upinzani kwa mara ya kwanza.vilevile wamesema kuwa siasa ya Tanzania imekuwa na uenda ukawa ndio mwanzo kwa chama cha ukawa kushika dola.
 
Kweli Hata huku UNYAMWEZINI TV moja inaonyesha kwa wale huston.

swissme
 
Mbona Clouds haijaonesha habari haiwezi fika Dunia Nzima sasa
 
Kaabila la kimasai lina uthubutu na wanauvumilivu
Hakika E.L amepata coverage kubwa kwa redio na runinga za kimataifa kwa kuweka historia ya kuwa kiongozi wa juu kukihama ccm na kujiunga na upinzani kwa mara ya kwanza.vilevile wamesema kuwa siasa ya Tanzania imekuwa na uenda ukawa ndio mwanzo kwa chama cha ukawa kushika dola.
 
Hapa Anchorage Alaska mji mzima unarindima kushangilia Lowassa kuhamia Ukawa. Nilikuwa pale Victoria huko Canada British Columbia nikawa nasikia watu wanashangilia mitaaa ikiwa imefungwa na polisi wakiwa wanaongoza maandamao
 
huku kwetu wilaya ya nyasa,gumzo ni lowassa.mwambao wote wa ziwa toka lituhi mpaka mbambabay,ni lowassa tu kwa kwenda mbele.hakika nchi imetikisika.
 
Ukawa Muwe Makini, Mawakala Huko Vijijini Muwaangalie Mnavyowaweka,wasije Wakahongwa Pesa, Mwaka Huu Msiposhinda Hamtoshinda Tena.Kama Mwanamke Kaingia Hadi Chumbani Halafu Atoke Hv Hv Bila Kumla,basi Huyo Atakuwa Siyo Mwanaume Bali Atakuwa Obama.
 
On today's news the Killing of Cecil the lion by an american dentist which took place in Zimbabwe national park has more coverage and condemnation than what is transpiring in Tanzania politics, labda wazungu washajua mbio za sakafuni tu hizi.
 
Ukawa Muwe Makini, Mawakala Huko Vijijini Muwaangalie Mnavyowaweka,wasije Wakahongwa Pesa, Mwaka Huu Msiposhinda Hamtoshinda Tena.Kama Mwanamke Kaingia Hadi Chumbani Halafu Atoke Hv Hv Bila Kumla,basi Huyo Atakuwa Siyo Mwanaume Bali Atakuwa Obama.
Hahaa,hii inaleta picha ya "ukitembea na mwizi nawe mwizi"
 
Back
Top Bottom