Mkuu wa chuo
JF-Expert Member
- Feb 3, 2011
- 7,626
- 5,346
Watu walishakua misukule Wa Mbowe
dah! yaani ni kazi sana mkuu...
Watu walishakua misukule Wa Mbowe
Mwarabu mmoja hapa Tehran ananiuliza, you are from Tanzania, right..? i said Yes, wht is up..? I heard from Peace Tv, Lowassa in Tanzania opposition party won Election in ur country...people were celebrating all over, how about you....!"?
Nikacheka, nikamwambia ni hv, Lowassa is most famous x - primier of Tanzania from the ruling party CCM, who joined opposition to run as a presidential candidate in October Election, so election is not ready till October 2015, akashangaaa, akasema, why is so big news till BBC, AL JAZEERA were reporting as well, and much celebrations...?
Nikamwambia, bcoz, HE IS BEING LOVED AND TRUSTED SO MUCH BY MANY TANZANIANS WORLD WIDE... he is genuine great leader, and Ruling party CCM discarded his name for personal reasons, so CCM removed his name for contesting presidential post with ill personal reasons...but NOW HE OFFICIALLY JOINED OPPOSITION UKAWA, and he will WIN BIG, with landslide victory the coming OCTOBER 2015...
So, all crowds were backing him, backing his strong heart and ambitions to make a shift, of which he will WIN with No doughts or Questions..!!"
Akasema, he is a super man... till Iran they knew him, all over the World, he looks very great leader, congrats to Tanzanians
Na tbc pia
Weka akiba ya maneno mkuu...
dah! yaani ni kazi sana mkuu...
Weka akiba ya maneno mkuu...
Kwani ukawa ni chama?
Hapa Anchorage Alaska mji mzima unarindima kushangilia Lowassa kuhamia Ukawa. Nilikuwa pale Victoria huko Canada British Columbia nikawa nasikia watu wanashangilia mitaaa ikiwa imefungwa na polisi wakiwa wanaongoza maandamao
Hata hapa Bunju tv ya taifa (ITV) ilirusha live bila chenga.
Mkuu hapo kwenye red ndivyo alivyosema huyo mtangazaji au ni mbwembwe zako?Habariii kutoka boooooooooon.Aliyekuwaaaa waziri mkuuu mstaaafu wa Tanzania Mj Lowasaaaa amepiga tekeee chama chake cha sisieeemuuuuu na kujiunga na chademaaaaaa..hayo yanajiiiiri baada ya jina lakeeeee kukatwaaa kwenye kinyanyanuiro cha uraisiiiii..mimi ni umuuni khyeeeeirrrr
Hapa Uarabuni watu wanakula kitimoto kama hawana akili nzuri baada ya kusikia Lowassa katimkia Ukawa
Unaandika hovyo hovyo! Huna upatanisho wa sarufi, una-misspell.Kiongozi wa kwanza?!!! Ivi kweli upo serious? Mrema unamjua au umeshamfuta?
Lowasa anapoteza muda nchi hii hawezi shinda na cdm watajutia maamuzi. Believe me or not. Just stay tuned.
Wanachadema wote waliokuwa na nia ya dhati ya kupinga ufisadi they very very discouraged.
Mtatumia nguvu nyingi isiyo na mafanikio kuwaaminisha kweli ur a real figher.
Viongozi wao hawakutaget chama kinufaine zaidi wametanguliza manufaa yao ya mgao.
Uongozi wenu wameanza kula matapishi yao wenyewe.
Ni aibu kubwa.
Taarifa zilizopo mitaani wanachama wengi wanatangaza wengine kukihama chama na wengine hawataki tena kumsikiliza mwana siasa.
Kazi mnayo