Kuonekana dunia nzima ni hela yako hata wewe ukitaka ukiwa na hela waweza onekana CNN,BBC,ALJAZEERA N.K kuna makampuni ya PUBLIC RELATIONS ya kimataifa ukiyapa hela yana connections na vituo vyote vikubwa duniani yatarusha habari yako kila chombo.Si kitu cha ajabu hicho.sasa muda mfupi ujao lowassa anachukua fomu ya kugombea kupitia chadema,dunia nzima pia itazizima.
kuwa mvumilivu Ndugu punde utajua nuchama au upatu, ngoja uendelee kushangaa utakavo shangazwa.
Kuonekana dunia nzima ni hela yako hata wewe ukitaka ukiwa na hela waweza onekana CNN,BBC,ALJAZEERA N.K kuna makampuni ya PUBLIC RELATIONS ya kimataifa ukiyapa hela yana connections na vituo vyote vikubwa duniani yatarusha habari yako kila chombo.Si kitu cha ajabu hicho.
Hata wengine huku tumeshajiweka sawa kiakili, kura yangu nitampa kama Mungu akinipa kuiona hiyo siku.
Arusha walikata umeme ebu nijuzeni kuna nini.
imekua kawaida yao sasa ngoja nawao waonje joto la kuwa wapinzani.
Kuna chama kinaitwa ukawa kweli?
Aisee kuna watu wana roho ngumu.. Yaani mpaka muda huu bado umekazana na kusubiri nani wa kushinda. Kilichobakia ni Lowassa kuapiswa kama rais mkuu.kutangazwa na vyombo vya habari vya nje si hoja ya msingi ya kushinda. wametangazwa wengi lakini hawajashinda tafuta hoja nyingine
Hakika E.L amepata coverage kubwa kwa redio na runinga za kimataifa kwa kuweka historia ya kuwa kiongozi wa juu kukihama ccm na kujiunga na upinzani kwa mara ya kwanza.vilevile wamesema kuwa siasa ya Tanzania imekuwa na uenda ukawa ndio mwanzo kwa chama cha ukawa kushika dola.
Kuonekana dunia nzima ni hela yako hata wewe ukitaka ukiwa na hela waweza onekana CNN,BBC,ALJAZEERA N.K kuna makampuni ya PUBLIC RELATIONS ya kimataifa ukiyapa hela yana connections na vituo vyote vikubwa duniani yatarusha habari yako kila chombo.Si kitu cha ajabu hicho.
HahahahahaHuku somalia ni ful shangwe,mpaka magaidi wametulia wakishanglia kuhama kwa lowasa
Huku Arusha tuko kama kisiwa fulani hivi kilichotengwa. huku umeme kila siku hakuna kuanzia asubuhi hadi saa moja jioni hasa maeneo ya sakina.halafu hali hii inazidi kunipa hasira ya kuipiga chini ccm.
Bila kusahau mitaa ya Newton's and Ohm's law.Mitaa yote ya Paris St Germany, Aston Villa, Chelsea, Bayern Munich, Liverpool, Manchester, Arsenal Wenger, West harm, NBA, Barcelona, Real Madrid, David Beckham, UEFA n.k
Yooote ilijaa watu kwenye big screens kushuhudia ujio wa Lowasa ukawa.