Nimetoka kutizama Documentary ikiielezea maandamano ya Kenya .
Documentary ile imeenda mbali na kukusanya ushahidi wa video kabisa ikimuonesha askari aliyehusika kumuua mwandamanaji mmoja .
Video hii itabaki milele na haki itakuja kupatikana tu . Ushauri kwa wote wanaojiona invisibles na untouchable waogope sana teknolojia na haki ya mtu itapatikana tu.
Tutaelewana tu.