BBA au B.com ya Open University of Tanzania zikoje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

BBA au B.com ya Open University of Tanzania zikoje?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Voice of Wisdom, Oct 7, 2011.

 1. Voice of Wisdom

  Voice of Wisdom JF-Expert Member

  #1
  Oct 7, 2011
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 541
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  heshima kwa wakuu wote mliomo humu jamvini. mi ni kijana wa kitanzania nimesoma diploma ya customs and tax management kilichpo chini ya TRA na nigependa kujiendeleza na masomo ila kwa njia ya mtandao ( Distance learning)
  kuna jambo ningependa kufahamu kuhusu chuo kikuu huria cha Tanzania
  1. je kwa kozi nilizotaja hapo juu nitakuwa nasoma ili kupata elimu au ili kuonekana na mimi nina digri?
  2. je kama chuo huria cha tanzania hakiwezi kunifanya nipate, ni nchi chuo gani huria katika nchi yeyote ile naweza soma elimu huria katika fani tajwa
   
 2. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #2
  Oct 7, 2011
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,632
  Trophy Points: 280
  Heshima kwako Voice of Wisdom,

  Mkuu Open University of Tanzania/Chuo kikuu huria Tanzania wanatoa BBA/B.Com.Unaweza specialize Accounting,Finance,Marketing,International Business na Human Resource Management sijui kama nimeweka option zote lakini unaweza kutembelea web yao www.out.ac.tz .   
 3. Voice of Wisdom

  Voice of Wisdom JF-Expert Member

  #3
  Oct 7, 2011
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 541
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  nashukuru kwa taarifa mkuu, nimepitia hiyo blog yao na nimeona nilichohitaji. swali langu linakuja hivi
  , ''je hii elimu nitakayoipata toka kwao itunifaa endapo nitazingatia au ndo itakuwa ilimradi na mimi nimekuwa na digrii" (digrii zao zinakidhi vigezo?)
   
 4. P

  Prof JF-Expert Member

  #4
  Oct 7, 2011
  Joined: Feb 24, 2010
  Messages: 1,189
  Likes Received: 1,345
  Trophy Points: 280
  duu, unaomba kueleweshwa or unaponda ? which is which? i have never been unfair in my life but with regard to your question, believe me you wont make any difference from those anti-brain we know in this country.
   
 5. K

  Kifulambute JF-Expert Member

  #5
  Oct 7, 2011
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,507
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  unatumia masaburi gani kufikiria?
   
 6. Voice of Wisdom

  Voice of Wisdom JF-Expert Member

  #6
  Oct 7, 2011
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 541
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  prof ninachotaka kujua ni kwamba "je nitapata elimu ya kunisaidia kama nitaamua kuizingatia? ( namaanisha kwa hapa tz digrii ya open inaweza kushindana na digrii ya chuo kingine cha tz katika fani zinazofanana kwenye soko la ajira?)
   
 7. kikahe

  kikahe JF-Expert Member

  #7
  Oct 7, 2011
  Joined: May 23, 2009
  Messages: 1,273
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Needs assesment!
   
 8. Voice of Wisdom

  Voice of Wisdom JF-Expert Member

  #8
  Oct 7, 2011
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 541
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  mkuu, sijajua una maanisha nini? Kwa kifupi mi namaanisha ninachokisema, nahitaji kusoma lakini kwa distance learning na mimi sina uzoefu na elimu huria na hapa najua hakika wapo watu wenye uzoefu na wanaweza kunisaidia.
  Hivyo basi naomba unisaidie kufaham ulichomaanisha katika comment yako kwani inaweza kuwa na mawaidha sawia kama nitaelewa ulichomaanisha
   
 9. Voice of Wisdom

  Voice of Wisdom JF-Expert Member

  #9
  Oct 7, 2011
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 541
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  who/what needs assesment?
  By the way that is the reason why i rise the matter because there are some members already assessed the matter and they have real picture.
   
 10. Ndumbayeye

  Ndumbayeye JF-Expert Member

  #10
  Oct 7, 2011
  Joined: Jan 31, 2009
  Messages: 4,787
  Likes Received: 1,038
  Trophy Points: 280
  waulize tcu
   
 11. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #11
  Oct 7, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Kwa nini usiende kwenye vyuo vya kawaida 2 mkuu?
   
 12. m

  moghaka JF-Expert Member

  #12
  Oct 9, 2011
  Joined: May 16, 2011
  Messages: 202
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  KWA UHAKIKA ELIMU YA VYUO VIKUU HASA TZ AU EA INATEGEMEA SANA MTU MWENYEWE NA BACK GROUND YAKO,,, pana mifano mingi tu products za ODL(open & distance learning) ni nzuri sana mfano wanafunzi wa OUT wanafanya vizuri sana wanapokutana wa wanafunzi toka vyuo vingine kwenye masters in conventional university kama UDSM hilo tumeshuhudia,japo na wao wanamapungufu yao, kwa maelezo zaidi ni PM,,, kuhusu elimu OUT wanasoma sana na muda mrefu wastn 4 yrs kuliko vyuo vingine 3yrs lakini ujitume hasa na usiwe mvivu kwani wewe ni sawa na kuku wa kienyeji unajilisha hvyo utajikuta unaelewa vitu vingi sana kuliko,,,huku kwingine ni wzur sn kwa soft skills esp language,confidence,psychology etc unapokuja kwenye comprehensive understsnding, materials kwa upande wangu naona ODL ni wazur zaidi..Na conventional wao tatizo wanabweteka na kile tu wanacholetewa lectures,madesa, walio wengi hata vitabu wavijui kbs

  KUHUSU AJIRA; Bado nalifanyia utafiti japo wengi niliowauliza wanasema pana institution inawapenda OUT sbb wengi wao wanakuwa tayari wana uzoefu kazini hvy wanawabeat wenzao, vlvle pana watu wanakasumba ya kuaamini sana vyuo vya serikali kuliko binafsi hyo nao inawa support, nimeuliza wanafunzi wa OUT hasa wa business wengi wanadai wahana shida ya ajira compare to others like Tumaini, Augustino n.k hata hivyo watu wengi OUT wanakuwa wana ajira zao serikalini n.k. na private sector esp Faculty of Business....
   
 13. Voice of Wisdom

  Voice of Wisdom JF-Expert Member

  #13
  Oct 9, 2011
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 541
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  no words to explain, but shortly you make my day. Nashukuru kwa ufafanuzi wenye kunipa picha halisi. God bless you. Nitaku PM
   
 14. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #14
  Oct 9, 2011
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,200
  Likes Received: 3,810
  Trophy Points: 280
  Nadhani wewe hauko serious na unachokiuliza unataka kuwatukana wenzako walio OUT maana swali lako halina msingi. OUT is a governmwent university kama zilivyo UDSM, SUA etc. We wasiwasi wako nini? Mbona hukwenda moja kwa moja University umeanza na diploma, ina maana form six hujafanya vizuri au umeishia form 4 ukasoma diploma. Nasikitika ingawa it is not good to speculate, nia yako sio nzuri katika kuuliza swali lako
   
 15. X

  XFUNDI Member

  #15
  Oct 9, 2011
  Joined: Aug 19, 2011
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kaka kutokana na or ya jana elimu ya OUT ni sawa CHUO kingine wala usiwe na shaka we kaza msuli tu.
   
 16. Mwakalinga Y. R

  Mwakalinga Y. R Tanzanite Member

  #16
  Oct 9, 2011
  Joined: Oct 22, 2008
  Messages: 2,718
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  VOW wala usiwe na shaka wewe kama una nia ,vigezo na uwezo jiunge na OUT hakuna tofauti yoyote na vyuo kama UDSM,Tumaini Univ. ama Mzumbe.Maelezo mazuri umeyapata hapo kwa Moghaka.Nakutakia mafanikio
   
 17. Voice of Wisdom

  Voice of Wisdom JF-Expert Member

  #17
  Oct 9, 2011
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 541
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  mkuu huo ni mtazamo wako ila sio nia yangu, na una haki ya kuelezea mtazamo wako jinsi unavyofikiria. Pili nikutaarifu kuwa sio kila anayeanzia diploma hakufanya vizuri form 6 au ameishia form 4.
  Na sioni kosa mtu kufanya analysis ya jambo kabla ya kukurupuka na kuanza kulifanya, na ili upate data nzuri siku zote kuhusu jambo fulani uliza kwa walioko ndani na nje ya hlo jambo kuepuka bias. By the way namaanisha na nitakapojoin OUT nitawapa taarifa
   
 18. Voice of Wisdom

  Voice of Wisdom JF-Expert Member

  #18
  Oct 9, 2011
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 541
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  shukrani zako mkuu, mnazidi kunipa mwanga wa kuendelea mbele na nia yangu ya kusoma OUT.
   
 19. Voice of Wisdom

  Voice of Wisdom JF-Expert Member

  #19
  Oct 9, 2011
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 541
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  mkuu nakushukuru kwa mchango wako, unajua unapokuwa na ukweli wa jambo, unakuwa katika mazingira ya kufanya maamuzi sahihi, nami naamini sitajutia maamuzi ya kujiunga na OUT.
   
 20. Ndechumia

  Ndechumia JF-Expert Member

  #20
  Oct 9, 2011
  Joined: Jul 15, 2011
  Messages: 1,015
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  kk kwa uzoef wangu,(master level) tatizo la OuT ni kuchelewesha/ kupoteza result za wanafunzi. Hilo linaweza kukufanya urudie mitihan au course km litatokea na likakosa ufumbuz na kukufanya ku extend mda wako wa kusoma. Faida ya open ni masomo hayataingilia shughuli zako kwa kias kikubwa ambazo ulikuwa unazifanya hapo awal, eg biashara, kaz kulea nk. Mitihan unafanya on demand km upo fresh, ukiona koz fulan nondo hujazimeza vya kutosha pepa huombi. Zipo nying sana.
   
Loading...