Tofauti iliyopo kati ya kozi ya Bachelor of Business Administration in Accounting na Bachelor of Accounting

MATONYA new

Senior Member
Jan 21, 2021
139
330
Habari za leo wanajukwaa

Naomba kufahamu tofauti ya hizo kozi kwenye nyanja zifuatazo

1. Mwenye BBA in Accounting je anapata unafuu sawa na mwenye BAC kwenye CPA
2. Sector zipi ambazo mwenye BBA in AC hawezi fanya sawa na mwenye BAC
3. Serikalini, mwenye BBA AC anafanya kazi vitengo gani
4. Mwenye BBA AC anaweza fanyiwa recategorization upande wa serikali
5. Mwenye BBA in AC kielimu na kiujuzi ni sawa na mwenye BAC
6. Waliosoma Open University of Tanzania, ni bora kusoma BBA IN AC AU BAC

HUU USHAURI NI KWA WATU WAWILI TOFAUTI
1. Mtumishi wa umma anataka kusoma open university kwa kusoma kati ya kozi tajwa hapo juu ili afanyiwe recategorization kutoka kada ya elimu kwenda uhasibu
2. Fresh from school anataka achague mbili kati ya hizo kozi tajwa hapo juu
 
Kwa kuwa upo Dodoma na kama muda unaruhusu kapige pale CBE, iwe full time au evening class kama ipo.

Ukiona vipi piga hata hapo OUT, course contents zinaweza zikawa tofauti kidogo ila wote mtakuwa wahasibu baadae.
 
Thanks much
 
Back
Top Bottom