Taarifa mkuu.....anahusiana vipi na hoja mchanganyiko?![]()
Taharifa zinasema ''kidume'' amefariki jana mchana nyumbani kwake kwa ugonjwa wa apendix
wengi watamkumbuka kwa jinsi alivyokuwa analinda usalama kwenye matamasha mengi yaliyokuwa yakifanyika dar es salaam
RIP BAZIR