Baraza la wanawake la Chadema limefanikiwa kuhudhuria mkutano wa wanawake ujulikanao kama Global Women Delivery Forum ulioanza Jana tarehe 16.05.2016 nchini Denmark.
Mkutano huo unaohudhuriwa na wawakilishi kutoka nchi zote duniani unatarajiwa kuzungumzia usawa wa kijinsia, sambamba na jinsi ya kutatua Changamoto zinazowakabili wasichanana na Wanawake.
Katika mkutano huo Tanzania inawakilishwa na mbunge wa Babati mjini Mheshimiwa Paulina Gekul na mbunge wa viti maalum mkoa wa Tanga, Mheshimiwa Yosepha Ferdinand Komba.