BAWACHA mnaiangusha CHADEMA!

Hili ni kwa nchi nzima mkuu UWT wameshikana na akina mama BAWACHA WANAWAZA VITI MAALUMU
 
wao ndani ya chama kuna wenzao kama mbunge mtulano jamani yeye anachowaza ni kuwa lini na namna gani bwana mdogo heche adhurike badala ya kujenga jumuiya yao ya akina mama ndani ya chama kuingia vijijini ikizingatiwa jumuiya ina wanawake zaidi ya 20,wabunge! kuna wana mama wao ni kupanga mipango ya kuihujumu bavicha tena wazi mfano mama philipa mturano(mb) chonde mama punguza chuki binafsi ndani ya chama
 
Mturano ana nafasi gani ndani ya BAWACHA MKUU
 
Mturano ana nafasi gani ndani ya BAWACHA MKUU
hawa ni wabunge akina mama ni wajumbe kwa nafasi za jinsia kwenye baraza mkuu so huyu mama ni mjumbe wa mkutano mkuu wa akina mama nchi nzima na nadhani anaingia vikao vingi zaidi a
 
Tatizo la BAWACHA ni zaidi ya Uongozi. Fungu la kuendeshea shughuli zao kwa Mwaka ni shilingi ngapi. Huwa wanapewa chochote kwa ajili ya kazi zao za kila siku na zile za kimkakati?
 
Tatizo la BAWACHA ni zaidi ya Uongozi. Fungu la kuendeshea shughuli zao kwa Mwaka ni shilingi ngapi. Huwa wanapewa chochote kwa ajili ya kazi zao za kila siku na zile za kimkakati?
Hyo ni hoja dhaifu sana mkuu.kuwezeshwa ni kitu kingine na ufanis ni kitu kingine
 
Hyo ni hoja dhaifu sana mkuu.kuwezeshwa ni kitu kingine na ufanis ni kitu kingine
CHADEMA inahitaji wachezaji mahiri na siyo mashabiki wapayukaji. Kama unashindwa kumeng'enyua hoja nyepesi namna hii zile za uchambuzi wa utawala wa Majimbo utaweza?

Wakati wa uzinduzi wa M4C unadhani ni kwa nini Mbowe alikuwa anawahimiza watu kuchangia chama? Huwezi kudhani tu kwamba BAWACHA itaendesha shughuli zake bila fedha, hata utatafiti tu wa vyuoni unatumia fedha. Unajua kwamba Operesheni moja tu ya M4C hutumia zaidi ya shilingi milioni 65? Sasa hao BAWACHA unataka wawe na Ufanisi bila kuwa na nyezo za kuleta huo ufanisi!!?
 
Mkuu hujanielewa kuwezeshwa ni muhimu lakini uongozi wa BAWACHA UMEPWAYA HILO HALIHITAJ RAMLI 2ACHA USHABIKI
 
Sijawahi kuona mwanamke mwenye uwezo kama yule hapa tz, machozi yalimtoka kitila mkumbo baada ya presentation ya Esther, akashindwa kusummery, pia ESTHER aliwavuruga wachokonoa maada wengine, maneno yake kama sumaku, yalinasa mioyoni mwa watu. MUNGU AMPE MAISHA MEMA, MUNGU AMPE MUME MWEMA... AMEN, nadhani hata urais anafaa 2020
 
hoja si kuwa ameingia lini il ameonyesha uwezo mkubwa anafaa kupewa majukumu ya kuhamasisha wanawake wajiunge na chama pamoja nauifufua bawacha
 
Bavicha, sasa kumekucha amkeni. Mmeona Esta Wasira? Tafuteni hawa, sio lazima wawe viongozi, watumieni kujenga BAWACHA.

Mkuu huwezi kuicopare BAVICHA na BAWACHA ndani ya CDM. BAVICHA ni moto wa kuotea mbali ndani CDM. Vijana wanafanya kazi yao vizuri. Leo waku huku kesho wako kule. Leo ndani ya nchi kesho nje ya nchi. Heche akiwa Bukoba kamachumu Munishi yuko eneo lingine. Kwa hiyo BAVICHA haihusiki hapa. Labda kama wewe ndo umelala
 
Ni kweli huwez kuifananisha lakini mafanikio ya BAVICHA NI YA KATIBU NA MWENYEKITI TU VIPI MIKOANI?
 
ukweli tupu mzee
 

presentation hiyo aliiandika kabla hata hajachukua kadi chadema na hajaiandika peke yake
haya tunamsubiri kumsikia tena
 
hoja si kuwa ameingia lini il ameonyesha uwezo mkubwa anafaa kupewa majukumu ya kuhamasisha wanawake wajiunge na chama pamoja nauifufua bawacha

Halafu kuwa na kadi si uthibitisho wa uaminifu..mtu yeyote anaweza kuwa na kadi..cha muhimu nia tu..watu wengi hawana kadi ila mioyo yao ni cdm..esther ametathmini,akaona cdm ndio suluhisho..anafaa sana..anajiamini,haogopi..anaeleza ukweli hata ukiwa mchungu kwako..
 
Ni kweli mkuu
 


Bawacha ni ya akina Mama au Wanawake?
 
Yaani kuna mbunge huwa anakaa upande ule wa akina Zitto sijawahi kumuona akiuliza hata swali hata siku moja acha kuchangia, na mimi ni mfuatiliaji sana wa bunge , simjui
hata jina lake huwa sielewi anafanya nini pale bungeni ningekuwa na picha yake ningeiweka.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…