Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,643
- 218,099
Habari kamili hii hapa
======
Bawacha wamesema kuwa, hao ni wabunge wasiokuwa na chama, wanamwambia kamanda Muroto kuwa pamoja na kusema utatupiga mabomu sisi tunaandama mpaka Dodoma. Wewe sio mwanasiasa achana na mambo ya siasa kazi yako ni kutulinda sisi na mali zetu, tunakata tujibiwe na Ndugai na sio wewe kamanda Muroto.
Wamesema tunataka Ndugai atueleze wako chama gani maana mtu akivuliwa uanachama anatakiwa kutoka bungeni sasa Ndugai anawataka hao kama wakina nai na wako wanawakilisha chama gani maana chama chetu hakiwataki, CHADEMA tumewafukuza sasa wako chama gani. Tunaenda kuliamsha dude.