Bavicha..!!

Tangu uongozi mpya wa Bavicha uingie madarakani naona kimya! Au ndo kujipanga? Maana magamba wanazunguka 2 mikoan! Heche vp? Au zilikuwa nguvu za soda! Peoples 2sisubiri mpaka uchaguzi maana watanzania wanatakiwa kufunguliwa!

Chama kimefilisika hakina hela, sasa atazunguka vp na resources hana ? msimwonee bure mmempa mfupa ambao hauwezi kuutafuna
 
Back
Top Bottom