Ben Saanane
JF-Expert Member
- Jan 18, 2007
- 14,581
- 18,123
WanaJF,
Bila shaka asilimia kubwa ya wachangiaji wa Mtandao huu ni wapenda mabadiliko.WanaJF mnapenda kuona mabadiliko kwa vitendo na si kwa maneno.
Kuhusu suala la BAVICHA mimi si msemaji lakini ni mwanachama.Naomba tuwe na subira.Ni karibia miezi miwili tu tangu uongozi wa BAVICHA uchaguliwe.Kwa vyovyote vile katika hicho kipindi ni lazima kuwe na mambo ya kuwekwa sawa na propgramme nyingi zilizoingilia kwa mfano baadhi ya viongozi kuwa nje ya nchi na ratiba nyingine zilizoingilia kati hasa hizi za Bajeti
Pia,tutambue kuwa sote kama tuna mapenzi ya dhati kuona upinzani imara na mabadiliko ya haraka Tanzania kisiasa,kiuchumi na kijamii na hasa sera nzito zinazoathiri vijana ambao ni asilimia kubwa ya population yetu lakini kwa bahati mbaya ndiyo wahanga wa sera mbovu za kiuchumi,kisiasa na kijamii basi tunawajibika kwa pamoja kuwapa sapoti na kutoa maoni ya dhati ili Bavicha iweze kusimama na kutekelezaa wajibu wake.CHADEMA kama chama makini cha siasa Tanzania hakijawahi kukosa umakini katika mambo na mipango yake.Natambua kuwa hapa ni kwenye jukwaa la hadhara si website ya chadema,lakini sote tunawajibika na tunatamani upinzani imara na tunatarajia kuwa na serikali makini itakayoundwa na Chadema hapo mwaka 2015.
Ni dhahiri kwamba mabadiliko ya kisiasa ni lazima yawe na nguvu ya vijana.
Ni lazima tukiri kwamaba wenzetu UVCCM na chama chao wameanza harakati za kujisafisha iwe kimaigizo au kwa dhati but ukweli unabaki kwamba ni lazima tuongeze kasi,ni lazima mikakati yetu pamoja na outreach ziwe za kutosha kwa sababu hatuwezi kutegemea uchafu na madhaifu ya CCM ndiyo yatuingize ikulu mwaka 2015.Mabadiliko ya aina hiyo hayatakuwa na manufaa,so we must act boldly and on due time.Ukishaona wenzetu kama akina Bashe wanaomba maoni kwenye mitandao kama hii ujue wamesoma alama za nyakati,so inabidi tuwe mbele yao zaidi mara mbili katika mbinu na mikakati.
Kila mmoja anatambua 2015, No youths,no Vote. Maandaalizi yetu tactically,technically and strategically yanategemea na mkakati wetu kama vijana.
Pia,kwa wale wanaoleta persona issues na kujadili trivial issues kwenye hoja za kitaasisi sidhani kama wana malengo mema na sisi au pengine wameteleza.Kuna ambaye ametaka kufananisha Bavicha na UVCCM,huyo nampa pole.Baadhi ya wanachama kwenye vyama vya siasa wanaweza kuwa dhaifu kama wanachama wa chama kingine cha siasa lakini Taasisi ni tofauti.So the SWOT analysis ya Bavicha iko tofauti sana UVCCM
Nakumbusha.....2015, No youths,No Vote ! sote tuwajibike ili 2015 tukiondoe chama dhalimu kilichoshindwa madarakani.vijana wengi wenye uwezo na vigezo jiandaeni kugombea nyadhifa mbalimbali.Mwaka 2015 tunaweza kuweka historia Afrika kwa kuwa chama Tawala(sorry,chama Ongozi) kwa kukiondoa chama kikongwe Afrika lakini kilichopoteza Dira.Tutakuwa chama mbadala kilichoingiza vijana wengi zaidi bungeni na kuunda serikali,tutakuwa na Bunge la vijana kuliko mabunge mengine yote Afrika.Tuwajibike,tuwe na ujasiri,tusiogope wanasiasa walioshindwa.let us Dare!
Aint no change without the power of youths ! ! !