mkuu mimi ni mwanachama wa chadema,kujitanua ulaya inasaidia kuingiza chadema madarakani?kwa nini msihangaikie kujitanua mikoa yote tanzania the ulaya will follow??
Vyote vina umuhimu mkuumkuu mimi ni mwanachama wa chadema,kujitanua ulaya inasaidia kuingiza chadema madarakani?kwa nini msihangaikie kujitanua mikoa yote tanzania the ulaya will follow??
Peoples power.........!
Sasa ngoja waje wale wahanga wa BAVICHA amabo huwa wana M4C yao fcbk ndo utaona jinsi povu linavyowatoka.
Sijui yule mfuasi wa Shibuda Juliana Shonza anajisikiaje.
mkuu mimi ni mwanachama wa chadema,kujitanua ulaya inasaidia kuingiza chadema madarakani?kwa nini msihangaikie kujitanua mikoa yote tanzania the ulaya will follow??
Mkuu nadhani kwao tumbo joto kwani wakiskia Heche basi siku nzima watashinda fcbk kutoa povu but hapa watakuja tu mda.
Heche piga kazi kamanda sisi tunakukubali..........!
Kaka mimi siyo mwana-CDM lkn move wanayoifanya ya kwenda kujitangaza abroad and overseas ina serve for publicity to global Global Politics.
Fuatilia kwa karibu, Sasa hv utasikia UVCCM wamealikwa USA UVCUF wamealikwa Iran maana vyama vyetu siku hz huimba kila wimbo unaotyuniwa na CDM.
Hivi Chadema katika viongozi wake wa juu Muislam ni mmoja tu Zitto Kabwe nauliza tu wanabodi.

Viongozi hawa chaguliwi kwa kigezo cha dini. Nilitegemea uwe wa mwisho kuwa na fikra hizi.
mkuu mimi ni mwanachama wa chadema,kujitanua ulaya inasaidia kuingiza chadema madarakani?kwa nini msihangaikie kujitanua mikoa yote tanzania the ulaya will follow??
Hivi Chadema katika viongozi wake wa juu Muislam ni mmoja tu Zitto Kabwe nauliza tu wanabodi.
Hivi Chadema katika viongozi wake wa juu Muislam ni mmoja tu Zitto Kabwe nauliza tu wanabodi.
Nenda kajiunge wewe uwe wa tatu.Kuna Waislam wawili tu...