Zawadi,
Unajua unapojikuta unatumia nguvu nyingi kuamini na kusambaza propaganda cheap ni fedheha sana?
Mfumo wa kushirikiana kwa vyama vya siasa haujaanza Leo.Upo miaka mingi.Vyama husaidiana katika capacity building n.k. Hizi cheap propagnda za kaina wasira (ambao wapo tayari hata kuwakana watoto wao) kwa maslahi ya kisiasa ni uvivu tu wa kufikiri
CHADEMA still has a learning curve and we will get there but we must do the needful and partner with people, parties with whom we share similar ideas
The last few days have shown that a well organised democratic system will always serve the people better and make the country stronger.Na hii ndiyo motive ya chama chochote makini cha siasa kama CHADEMA
Huu ufadhili mnaosambaza kwa hisia na hofu tu hautasaidia zaidi kukitangaza CHADEMA vizuri.Mtindo huu wa kutumia muda mwingi kutafuta propaganda badala ya kutafuta solution ya matatizo ya wananchi ili mpendwe haitasaidia,ni jaribio la ushirikina tu!