BAVICHA yazidi kujitanua ULAYA

BAVICHA yazidi kujitanua ULAYA

Kaka mimi siyo mwana-CDM lkn move wanayoifanya ya kwenda kujitangaza abroad and overseas ina serve for publicity to global Global Politics.

Fuatilia kwa karibu, Sasa hv utasikia UVCCM wamealikwa USA UVCUF wamealikwa Iran maana vyama vyetu siku hz huimba kila wimbo unaotyuniwa na CDM.

Copy and paste politics!!!!
 
Sio siri, Bavicha wamepata m/kiti yaani Heche ni jembe sio mchezo, anapiga kazi, nashangaa huyo makamu simsikii hata kwenye mikutano ya kujenga chama!
 
ndio maana waislam tunalalamikiwa kwa kushindwa kufikiri sawasawa.wewe ritz unaulizia uislamu katika chadema.
hoja muflis hiyo,imetumiwa sana katika propaganda za ccm.
uongozi wa juu wa chadema wa5 waislamu ni wa 3 na wakristo ni wa 2.
ccm juu 5 waislamu 2,wakristo 3.
cuf top 5 waislam 4,mkristo jina 1.
karibu ritz na siasa za maji taka.
 
Sio siri, Bavicha wamepata m/kiti yaani Heche ni jembe sio mchezo, anapiga kazi, nashangaa huyo makamu simsikii hata kwenye mikutano ya kujenga chama!

Makamu yuko busy kuandaa matamko ya kumuunga mkono Shibuda.
 
ndio maana waislam tunalalamikiwa kwa kushindwa kufikiri sawasawa.wewe ritz unaulizia uislamu katika chadema.
hoja muflis hiyo,imetumiwa sana katika propaganda za ccm.
uongozi wa juu wa chadema wa5 waislamu ni wa 3 na wakristo ni wa 2.
ccm juu 5 waislamu 2,wakristo 3.
cuf top 5 waislam 4,mkristo jina 1.
karibu ritz na siasa za maji taka.

Mkuu usihangaike kujibu hoja za kiundewazimu.
 
ahaaa haa molemo wenzio wanapeta wewe unaishia safari za Ifakara tu !

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Hivi Chadema katika viongozi wake wa juu Muislam ni mmoja tu Zitto Kabwe nauliza tu wanabodi.

Hata CUF mkristu ni mtatiro pekee.kwa hiyo inategemea ni mtazamo tu,
 
ahaaa haa molemo wenzio wanapeta wewe unaishia safari za Ifakara tu !

Chama
Gongo la mboto DSM

Mkuu wangu chama,
Unataka kuniambia jamaa naye anatamani trip ya ulaya lakini kina Lema, wanambania.
 
Last edited by a moderator:
Mimi nimeridhika mkuu wangu..

Mkuu sema ukapumzike Nairobi , angalau siku3 hizi safari za Ifakara kila siku sio nzuri kiafya na kiakili; nitadhimini safari na malazi four star hotel

Chama
Gongo la mboto DSM
 
ha haa ha, wampe hata trip ya Mwanza.

Mkuu Ritz;
Mwanza pagumu siku hizi hawana meya nampa offer ya Nairobi angalau siku 3 akapumzike hizi safari za Ifakara si nzuri kwa afya yake

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Mkuu wangu chama,
Unataka kuniambia jamaa naye anatamani trip ya ulaya lakini kina Lema, wanambania.

Ahaaa mkuu nani asiyetaka kutoa tongotongo za macho? Huoni wenye chama kila siku safarini USA na Ulaya kuongea na watu ambao hata uwezo wa kurudi bongo na kupiga kura hawana!

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Mkuu sema ukapumzike Nairobi , angalau siku3 hizi safari za Ifakara kila siku sio nzuri kiafya na kiakili; nitadhimini safari na malazi four star hotel

Chama
Gongo la mboto DSM

'kumbe hizi safari ndo zinawaumiza,zinawafanya mtamani chama kife,kumbe mapovu yote facebuk sababu ya hizi safari'
 
Back
Top Bottom