BAVICHA yatikisa kwa Sitta

BAVICHA yatikisa kwa Sitta

MotoYaMbongo

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2008
Posts
2,146
Reaction score
887
Jana umefanyika mkutano mkubwa wa Bavicha Taifa Urambo viwanja vya Tarafani, Mwenyekiti Bavicha Taifa alihutubia sambamba na makamanda kutoka Mbeya, Iringa, Kilimanjaro, Mara. Muitikio wa vijana, Wazee, Kinadada ulikuwa mkubwa sana, pia tukio lililoshtua wengi ni kupewa kadi ya uanachama aliyekuwa mfuasi mtiifu wa Sitta bwana Harbu, Hongera makamanda, Aluta Continua.
 
ukiweka maneno weka na picha ili usomeke vizuri
 
Hongereni Bavicha, musisahau kuhamasisha vijana kwa wazee, waume kwa wake kwenda kwenye ofisi za vijijina mitaa yao kujiandikisha kwenye daftari la makazi kujiandikisha muhimu na kushiriki uchaguzi serikali za mitaa na taifa
 
Jana umefanyika mkutano mkubwa wa Bavicha Taifa Urambo viwanja vya Tarafani, Mwenyekiti Bavicha Taifa alihutubia sambamba na makamanda kutoka Mbeya, Iringa, Kilimanjaro, Mara. Muitikio wa vijana, Wazee, Kinadada ulikuwa mkubwa sana, pia tukio lililoshtua wengi ni kupewa kadi ya uanachama aliyekuwa mfuasi mtiifu wa Sitta bwana Harbu, Hongera makamanda, Aluta Continua.
Mkuu mbona unatuletea stori zisizo na picha? Unawaangusha BAVICHA. mara sitta arudi jimboni mara fisadi sitta arudi jimboni, sijui BAVICHA waweka kambi kwa sitta. Naamin upo huko. Tunaomba uwe unaweka japo picha na live updates ili kuboresha habari. Unafanya kazi nzuri kutupa habari za huko.

UKAWA tumaini letu. Mia
 
ukikosa picha nzuri mnaweza weka hata za kutoka maktaba.
 
Utafiti unaonyesha kwamba samuel sita ndio mtu anayechukiwa zaidi kwenye ukanda wa maziwa makuu ; akifuatiwa na kundi la alshabab .
 
Back
Top Bottom