BAVICHA yajitanua kimataifa

Acha kubwabwaja wewe kama domo kaya, jibu hoja. Nimeuliza huyo munishi ndio takataka gani na bavicha ndio nini au ni baraza la vichaa wa chagga?...sasa unaonge ongea utafikiri umedondoka kutoka juu ya mwembe wewe kama nani?...au ndo wewe huyo munishi mwenyewe...
Hii ndio Bavicha bwana!!!!
 
Attachments

  • PICT2016.JPG
    PICT2016.JPG
    1.1 MB · Views: 49
  • PICT2290.JPG
    PICT2290.JPG
    1.1 MB · Views: 37
  • DSCN1958.JPG
    DSCN1958.JPG
    77.4 KB · Views: 23
Kiukwel nanyi mmezid mbwembe kwenda Australia ni ajabu sana kwa BAVICHA,nimeamin ule msemo wa wahenga LIMBUKEN HANA SIR

Waambie bana mbona presidaa wetu anaendaga mpaka US kupiga picha na 50 au jamaica kubembea mkumbushe jinsi jk alivyoenda cuba kuangalia masanamu na Tz tulivyonufaika kwa picha zake akiwa huko na hatukumwambia mtu sembuse huyo katibu tu tena wa BAVICHA kwenda australia kuwawakilisha vijana wa Tz ndo wanapiga kelele na safari hii prezdent kaenda tena us kupiga picha na statue ya wacko jacko sjui watasemaje,
 
Yethu wangu. Naona unaendelea kujimbia mdomoni tu. Hivi unadhani kila mtu humu ndani ni mwana chadema ama mwana ccm?...huyo aliyewadanganya kuwa ukibanwa kwa hoja usingizie uccm amewararua kisawa sawa...tena usijaribu kuropoka ropoka. Nimeuliza kuhusu munishi ni nani na bavicha ni nini sasa nakushangaa wewe umenivamia, au wewe ni mrs munishi?...au wewe ni nyumba ndogo yake?...jaribu kujibu hoja acha porojo hizo kama umedondokea pua sema mrs munishi..
Ubarikiwe sana....
 
Sometimes hapa ndipo CHADEMA mnapokosea. Ilikuwa ziara binafsi? Kwa kuwa yupo ndani ya vazi rasmi la chama sidhani kama ni shughuli binafsi. Kama ndivyo, kwa nini taarifa haikutolewa kwa umma mapema? Sijui hili linaangukia kwa nani but I think itakuwa Kurugenzi ya Mambo ya Nje au Habari na Uenezi. There must be a problem somewhere regarding information dissemination to the public.

Haiingii akilini kwa mtu mzito kama Katibu Mkuu BAVICHA kupasua anga lote all the way to Australia halafu wahusika wamekaa kimya tu, umma haujui lolote hadi mmoja wetu (mwanJF) just by chance akutane na taarifa FaceBook na kutumegea hapa.

Kwenye discussion Kipima Joto ITV jana Mh. Mnyika alituhakikishia kwamba falsafa ya CHDEMA ni "Nguvu ya UMMA" kama ndivyo basi "Taarifa kwa UMMA" ni jambo la msingi na muhimu na itolewe kwa wakati. Usitegemee umma uku-support bila kuupa taarifa.

JITOFAUTISHENI NA WENGINE.

Siyo kila kitu kitangazwe, wabaya wetu wanapenda kutuigizia . Tukifanya kumi tunatangaza nne
 
Acha kubwabwaja wewe kama domo kaya, jibu hoja. Nimeuliza huyo munishi ndio takataka gani na bavicha ndio nini au ni baraza la vichaa wa chagga?...sasa unaonge ongea utafikiri umedondoka kutoka juu ya mwembe wewe kama nani?...au ndo wewe huyo munishi mwenyewe...

Ni kweli.Ajibu hoja.Hilo ndio tatizo letu Watanganyika.
 
Siyo kila kitu kitangazwe, wabaya wetu wanapenda kutuigizia . Tukifanya kumi tunatangaza nne

Nimekuelewa. Lakini hakukuwa na ubaya wowote kutoa just taarifa fupi kama vile "KATIBU MKUU BAVICHA ATAKUWA AUSTRALIA KIKAZI KWA SIKU MBILI". Hii ingetosha sana; at least vijana tungejua katibu mkuu wetu yuko wapi kwa muda huu kwa masuala ambayo ni ya kikazi/ofisi.

Unapowaficha washikadau wakuu (UMMA) usidhani "wabaya wetu" nao utawaficha; tangu anaingia airport they (wabaya) know each and everything.
 
Kweli kaka...labda tu haujui, munishi ameeenda australia kuwashawishi vijana wajiunge na CDM, si hata heche aivyoteuliwa tu kuwa mwenyekiti alienda ujerumani, sasa na yeye ameenda huko kuosha nyota kama bosi wake, ameshindwa kufika mlandizi kuhamasisha watu wajiunge na chama yeye kaenda kusafisha nyota kwanza..kaaazi kweli kweli...

Mtasema mengi ya ovyo, lakini mjue BAVICHA ni mfano wa kuigwa. UVCCm imebaki vibaraka wa wenye pesa a.k.a mafisadi
 
Nchi kama China,Japan,Nepal Malysia na zingine zote zilizoko mashariki ya mbali uwa wanajifunza jinsi ya kutoa maoni kwenye jamii,kuongea kwa adabu.Tatizo kubwa ninaloliona hapa Tanzania ni ukosefu wa malezi,unapotaka kuajibu au kutoa maoni ni lazima uwe na adabu,heshima na maono ya mbele.Kwakweli lugha mbaya hazitakiwi.Hii ya kutokuwa na malezi ya kitaifa ndiyo yanayofanya watu wafanye kila kinachoonekana usoni bila ya kufikiria.Hata viongozi wabovu wanatokana na malezi mabaya.Wewe unayetoa lugha ya ajabu si wewe bali ni ukosefu wa malezi.Hivi jiulize waziri Mkuu wa Japan anapoingia ukumbi wa bunge mbona uwa anainama mara 5 kuonyesha utii wa taifa lake.Hizi sisi jamani hatuigi?
 
Nimepita kwenye facebook wall ya katibu mkuu wa BAVICHA Deogratias Munishi nikakuta picha hii akiwa nahutubia mkutano wa vijana wa demokrasia duniani huko Sydney Australia kwenye ukumbi wa bunge la nchi hiyo.

sijajua nini alichokua anawasilisha na hiyo ilikua ni jana.

Nawapongeza viongozi wa Bavicha ila challenge ni kwamba mkumbuke mna kazi kubwa hapa nyumbani ya kuwafanyia vijana.

397988_296151143764324_100001083210786_792605_976519363_n.jpg

Huyo ndiyo Munishi katibu mkuu wa BAVICHA akiwa nafanya vitu vyake uko Sydney. UVCCM mpooooooo?

Hujui alicho fuata huko ? kwa taarifa yako amekwenda kuomba hela za kufanyia maandamano , za ruzuku zote wamezimaliza

Nimepita kwenye facebook wall ya katibu mkuu wa BAVICHA Deogratias Munishi nikakuta picha hii akiwa nahutubia mkutano wa vijana wa demokrasia duniani huko Sydney Australia kwenye ukumbi wa bunge la nchi hiyo.

sijajua nini alichokua anawasilisha na hiyo ilikua ni jana.

Nawapongeza viongozi wa Bavicha ila challenge ni kwamba mkumbuke mna kazi kubwa hapa nyumbani ya kuwafanyia vijana.

397988_296151143764324_100001083210786_792605_976519363_n.jpg

Huyo ndiyo Munishi katibu mkuu wa BAVICHA akiwa nafanya vitu vyake uko Sydney. UVCCM mpooooooo?

Kama kawaida Ni Mchaga.

Chadema kazi ipo. Ok Je Tz mmeshamaliza kujitanua mpaka mnarukia nje?
 
Maendeleo yetu vijana yatachelewa kwa ajili ya kuendekeza udini na ukabila. Munishi being Machaga sio issue hapa. Matatizo yetu sio ya kikabila au kidini. Ni mfumo mbovu wa utawala na ndio inabidi tupigane nao mpaka utoke. Sasa Kardinal akisema watu mnaanza ooh eti haipendi serikali cos inaongozwa na mtu wa dini tofauti. Matatizo ya mkuu wa kaya sio ya kidini, ni utawala tu haujui. Hebu tupanue uwezo wetu wa kufikiri. Kwani Heche nae ni mchaga? Mbona Malisa alienda kwenye umalaya saa saba usiku akamwachia dereva wake bastola akamtandika mtu.Kwani yeye sio Mchaga na yuko UVCCM? Kuna watu wanaboa kweli humu jamvini. Ngoja nikaomboleze msiba wa dada yetu Regia
 
Nimekuelewa. Lakini hakukuwa na ubaya wowote kutoa just taarifa fupi kama vile "KATIBU MKUU BAVICHA ATAKUWA AUSTRALIA KIKAZI KWA SIKU MBILI". Hii ingetosha sana; at least vijana tungejua katibu mkuu wetu yuko wapi kwa muda huu kwa masuala ambayo ni ya kikazi/ofisi.

Unapowaficha washikadau wakuu (UMMA) usidhani "wabaya wetu" nao utawaficha; tangu anaingia airport they (wabaya) know each and everything.

UMMA uko vitani kuikomboa nchi magamba tena basi!! Siyo kila mbinu ya hii vita itatangazwa hadharani na wala UMMA hauko interested kujua kila details, UMMA unataka ukombozi tu!!!!!
 
Munishi ndio nani tena huyo mbona si mfahamu?...halafu mnaposema BAVICHA mnamaanisha nini BARAZA LA VICHAA WA CHAGGA au mnamaanisha nini. Tuambiane bana wengine ni wageni hapa.

Ukichaa si lazima uokote makopo....naomba uje huku Dodoma nikupe ofa ya kutibiwa Mirembe,unaonekana una brain disorders ambayo mara nyingi unaweza ukawa na mawazo mavi,ya kitoto nk.
 
Back
Top Bottom