BAVICHA watoa tamko kuhusu maandamano

BAVICHA watoa tamko kuhusu maandamano

Wao waandamane tu,eti wanaiga arab spiring,wale waarabu walishapinda siku nyingi na licha ya kupinda walikutana na al sisi kumbe nae ameshapinda siku nyingi,akawaua 800 kwasiku moja na tangu hapo kimya.
 
-------- nan akaandamane nyoo mjinga nn nishindwe kufanya kaz zangu.nikaandamane.nyoooo
 
Wao waandamane tu,eti wanaiga arab spiring,wale waarabu walishapinda siku nyingi na licha ya kupinda walikutana na al sisi kumbe nae ameshapinda siku nyingi,akawaua 800 kwasiku moja na tangu hapo kimya.

Je nchi yao mpaka sasa iko katika hali gani. Kumbuka amani haiji ila kwa ncha ya upanga,Hivi unafahamu kuwa mficha maradhi kilio kitambumua na kamwe wa mbili havai moja
 
Uongozi wa kutunishiana misuli, kulazimisha yasiyo na tija kwa wananchi na kutaka kuonekana. Huu ni uongozi wa kijuha na kwa maana hiyo hauna tija kwa jamii iliyostaarabika.


huwezi kuingia madarakani halafu utafute umaarufu kwa pupa namna hii. Chama kilichojengwa kwa misingi ya kitaasisi na kizalendo hakiwezi kuanza kazi kwa vitisho na vurugu zisizo na kichwa wala miguu. Hii ni sawa na nguvu ya soda inayolipuka kwa kasi kubwa mara unapoifungua kisha inapoa na kunywewa kiulaini.
 
Huyu dogo kateuliwa juzi na yeye leo anatoa tamko, nadhani ili ndiyo tamko lake la kwanza wakati Dr.Slaa ana matamko zaidi ya 200 ambayo hayana tija yeyote.
 
Watanzania tusishangae haya ya polisi maana mwangosi aliaua kwa maelekezo ya wakubwa. na hata wakiua wanapandishwa vyeo. UKITAKA KUJUA KWAMBA HII NCHI HAITAKUJA KUPATA MAENDELEO ONA HII "WIKI ILIYOPITA BASI LA AIRLINE LILIPATA AJALI NA KUUWA WATU MOROGORO CHA KUSHANGAZA NIKASIKIA KWENYE TAARIFA YA HABARI POLISI WAKISEMA WANAENDA KUCHUNGUZA GARI HILO NA MABASI YA KAMPUNI HIYO KAMA YANA UBORA. HEBU KWA AKILI YA KAWAIDA KAMA POLISI NI WELEDI KAMA WANAVYOIMBA KILA SIKU NI KWA NINI WASICHUNGUZE UBORA WA HAYA MAGARI WAKATI ULE YANAFIKA BANDARINI? HUU WELEDI WANAOHUBIRI KILA SIKU UKO WAPI? YAANI MPAKA AJALI ITOKEE ITOKEE NDIO WAONYESHE WELEDI.

HIVI MTU AKISEMA ANAANDAA MAANDAMANO TENA BADO HAJAPELEKA MAOMBI YA KIBALI CHA MAANDAMANO HUWA AMEVUNJA SHERIA GANI? HIVI KATIBA YA TANZANIA YA 1977 HAITOI HAKI YA MAANDAMANO KWA WATANZANIA? AU CHAGONJA ANATUMIA KATIBA YA NCHI GANI KUTAKA KUZUIA HAKI YA KIKATIBA? NI WELEDI UPI HUO ANAOUTUMIA CHAGONJA?
 
Je nchi yao mpaka sasa iko katika hali gani. Kumbuka amani haiji ila kwa ncha ya upanga,Hivi unafahamu kuwa mficha maradhi kilio kitambumua na kamwe wa mbili havai moja
Maandamano ndo hayo maradhi menyewe.syria walianza maandamano tukasema chondechonde syria msijaribu mtakuja kulia,leo wanalia.

libya vilevile,ncha ya upanga haijasaidia kitu.sasa unadhani wanazuia maandamano kwasababu gani.maandamano yasiyo kikomo tena nchi nzima lengo lake ni kuiangusha serikali,nani atakubali hiyo?
 
wengi ni misikule Design YA MATOLA
Hawa makamanda wa kihindi waoga sana kila siku wanasema humu jamvini hakuna dhambi kama uoga sasa wanacholia lia nini si waingie barabarani wakakutane na risasi za moto.
 
Hawa makamanda wa kihindi waoga sana kila siku wanasema humu jamvini hakuna dhambi kama uoga sasa wanacholia lia nini si waingie barabarani wakakutane na risasi za moto.

Siku moja hizo risasi zitakupiga wewe, kama siyo bomu kukulipukia, tena ukiwa ndani chumbani kwako umestarehe.
 
Ni sheria gani inawapa polisi mamlaka ya kutoa vibali vya maandamano? Ikiwa hata taaluma yao hawaijui, wanaufahamu gani wa kuelewa masuala mengine hadi wawe waamuzi? Hakauna idara yenye miburura Tanzanania kama polisi, na kwa kujua hilo, ndiyo maana mipaka ya kazi zao imebainishwa kisheria.

Tafadhli bwana. Revisit your references uje na hoja yenye nguvu. Vinginevyo nasikitika kukuona na wewe kama wao kwa ajili unawapa wao ndio wawe pps, advocates, investigators, na judges!.



Nawe pia una matatizo ya uelewa.maandamano ya kupinga bunge la katiba ambalo lipo kihalali unategemea polisi wafanye nini dhiidi ya waandamanaji.kuwapigia mziki wa brassband au mkng'oto.hivi leo wananci wakiamua kuandamana kumtaka msajiliwa vyama afute chadema kwa sasbabu ni nishio la amani watakuwa na haki?
 
Back
Top Bottom