BAVICHA watoa tamko kuhusu maandamano

BAVICHA watoa tamko kuhusu maandamano

huo ndio uwezo wako wa kufikiri?
Wewe uwezo wako ni upi,?weka tuone.

mahakama imeshasema bunge la katiba lipo kisheria.
hata mliosusa ni wachache wakati majority wamebaki bungeni,wakiwemo wabunge wa cuf,cdm.
unapotishia kuandamana nchi nzima tena bila kikomo hapo unatangaza vita.
haya utaadamana then the end itakua nini?,raia watachoka kutembezwa na mtajikuta mmebaki watano si aibu hiyo.
tuseme mwitikio ukia wa mkubwa na maandamano yakahatarisha amani,watu watakamatwa,itatangazwa hali ya hatari na pengine hata uchaguzi ukasogezwa mbele,hasara itakua kwenu na itakula kwenu.
 
Sasa waza kinyume chake, kuwa kuandamana huko ni kwa amani. Nikufikisha ujumbe japo ni sheria lakini wabunge wa katiba wamekosa uzalendo. Maana wakiacha hamna sheria itakayovunjwa badala yake watasevu pesa kwa matumizi mengine. Hata wamalize hayo makaratasi hayana uhakika wa kuwa katiba maana yanahamishiwa kwa rais mwingine, wabunge wengine lada na sheria nyingine. Unadhani kama polisi wakiacha siasa maandamano si haki yetu?
 
Ni nasubiri nione wengine wamebaki walemavu maana police watapiga bila huruma. Mbowe na malaya wake watakuwa ndani wakivinjari kuku kwa mayayi, poleni sana wajinga mtakao andamana.
 
-------- nan akaandamane nyoo mjinga nn nishindwe kufanya kaz zangu.nikaandamane.nyoooo

hatuhitaji mateha kwenye maandamano yetu...wewe endelea kubwia unga tu wanaume tutakurafutia uhuru wa pili...
 
jamani amani tuliyonayo iacheni idumu ...hatutaki nchi yetu iwe kama syria au misri au tunisia please CHADEMA shutdown
 
hatuhitaji mateha kwenye maandamano yetu...wewe endelea kubwia unga tu wanaume tutakurafutia uhuru wa pili...

----- ya bibi yako una ***** kweli ww nan teja ------ ww kwann nisiongee ukwelii.mandamano yasio.na.tija kwangu kumamamko nyooo ukiandamana utapata nn au utapewa cheo chochote acha ufirauni ww unawasaidia wenzako kupata ridhiki huu nimdawako ---- ww
 
Mwenyekiti wa baraza la vijana BAVICHA bw PATROBAS KATAMBI akizungumza na wanahabari muda huu hapa katika mkutano wa chadema unaoendelea
-Kufwatia jeshi la polisi Tanzania jana kupiga marufuku maandamano yaliyotangazwa kufanyika na chama cha democrasia na maendeleo CHADEMA,umoja wa vijana wa chama hicho BAVICHA umeibuka na kusema kamwe hawatishiki na kauli ya jeshi hilo na wapo tayari kwa lolote.
---------
Akizungumza na wanahabari muda huu nje ya mkutano wa kamati kuu ya chama hicho mwenyekiti wa vijana taifa PATROBAS KATAMBI amesema kuwa kauli iliyotolewa na mwenyekiti wao sio kauli yake kwani ni kauli ya chama na wanachama wote hivyo polisi wasihangaike kumkamata mwenyekiti wao na badala yake wajiandae kulinda amani wakati wa maandamano- hayo.
---
“tumezoea kusikia kauli za vitisho vya jeshi la polisi wakati chadema inapotaka kufanya kitu cha kuwatetea wananchi wao,ila siku ccm ikitangaza kufanya maandamano ya amani huwezi kusikia kauli kama hizo,sasa tumechoka na mambo hayo na tupo tayari kwa lolote lile”amesema mwenyekiti wa BAVICHA TAIFA
------
Aidha amesema kuwa ofisi yake imeitisha kikao cha dharura kwa ajili ya kupanga mikakati imara ya kuanza maandamano hayo ambapo amesema kuwa yatafanyika nchi nzima bila kikomohuku akisema -yataanza muda wowote kuanzia sasa.

Hivi nini maana ya nchi nzima,?nasikiaga tu nchi nzima ila kule kwetu huwa hamfiki
 
Nilitamani kupita bila kuchangia lakini wacha nichangie huenda ikawa na msaada kwa wasiojielewa.

Haya ni maandamano ya wanaCDM lakini ndani ya hayo tutawaona wangine wapenda maendeleo na wenye uchu na nchi yao wakiungana na CDM

Hivyo mnaopinga hamwoni kama mnajivua uzalendo kwa nchi yenu? Pia napenda kueleweka hivi, hata vyombo vya usalama vyote kuna wazalendo na wasaka madaraka na ukweli ulionekana pale Kamanda SIRO alivokuwa RPC mwanza, alisimamia haki ya watanzania wa Mwanza kwenye uchaguzi lakini akaondolewa na wababe.

NOTE. Hata police, jeshi, usalama wa Taifa inawakera hali ilivo chini ya Ccm maana nchi haina amani , na zaidi hata familia zao zinaathirika na ubabe wa Ccm, tunajielewa tutawasuport na sio kila amri tutaitiii
 
Safi sana ! Dawa ya moto ni moto.

Mkuu matamko kama haya yangekuwepo kama tungekuwa na vijana kama hawa kwenye Baraza hili? Ile fukuzilia mbali ulikuwa muono wa ukweli.
ImageUploadedByJamiiForums1410935085.301409.jpg
 
Bavicha msisubutu kuandamana, Gesi retu ra Porisi riko imara nchi nzima!!

10616591_788922671171729_8604920628941645833_n.jpg
 
Mwenyekiti wa baraza la vijana BAVICHA bw PATROBAS KATAMBI akizungumza na wanahabari muda huu hapa katika mkutano wa chadema unaoendelea
-Kufwatia jeshi la polisi Tanzania jana kupiga marufuku maandamano yaliyotangazwa kufanyika na chama cha democrasia na maendeleo CHADEMA,umoja wa vijana wa chama hicho BAVICHA umeibuka na kusema kamwe hawatishiki na kauli ya jeshi hilo na wapo tayari kwa lolote.
---------
Akizungumza na wanahabari muda huu nje ya mkutano wa kamati kuu ya chama hicho mwenyekiti wa vijana taifa PATROBAS KATAMBI amesema kuwa kauli iliyotolewa na mwenyekiti wao sio kauli yake kwani ni kauli ya chama na wanachama wote hivyo polisi wasihangaike kumkamata mwenyekiti wao na badala yake wajiandae kulinda amani wakati wa maandamano- hayo.
---
“tumezoea kusikia kauli za vitisho vya jeshi la polisi wakati chadema inapotaka kufanya kitu cha kuwatetea wananchi wao,ila siku ccm ikitangaza kufanya maandamano ya amani huwezi kusikia kauli kama hizo,sasa tumechoka na mambo hayo na tupo tayari kwa lolote lile”amesema mwenyekiti wa BAVICHA TAIFA
------
Aidha amesema kuwa ofisi yake imeitisha kikao cha dharura kwa ajili ya kupanga mikakati imara ya kuanza maandamano hayo ambapo amesema kuwa yatafanyika nchi nzima bila kikomohuku akisema -yataanza muda wowote kuanzia sasa.

Wazee wa Nitoke vipi mna kazi kweli kweli. Sijui kesho mtakuja na single gani maana hii imeshaanza kupuuzwa na Watanzania ingali ipo studio
 
Safi sana yaanze haraka nchi nzima . dodoma kuelekea mjengoni.
 
Back
Top Bottom