BAVICHA: Unamuenzije Nyerere huku unadhihaki Mwenge na Muungano

comte

JF-Expert Member
Dec 11, 2011
8,227
5,950
Nimesikitika sana kusikia BAVICHA ati wameenda Butiama kwenye kaburi la Nyerere kumuenzi. Naomba niwakumbeshe dhihaka zao kwa Nyerere.

BAVICHA-Mwenge upelekwe makumbusho
Lissu- wakati wa bunge la Katiba - Nyerere alikuwa laghai-
CHADEMA- serikali za ukabila za majimbo na kuvunja Muungano kwa kuleta serikali ya Tanganyika

AKILI NYINGI HUONDOA MAARIFA
 
Tukuulize Comte, kweli Hilo linawezekana?
 
Pia akili kiduchu huliangamiza taifa.
 
Kheri yako wewe unasema ukweli kwamba nyinyi ni wanafiki na mnafanya vitu kinyume cha maumbile
 
Headline yako umeikosea. Inasomeka kama vile BAVICHA ndio wanaohoji.
 
UNAHANGAIKA NA HAO WAHUNI ACHANA NAO WANAKUUMIZA KICHWA TU WAENDE WAKACHEZE NA WATOTO WENZAO WAACHE WAKUBWA WAFANYE KAZI
 
Mkuu unaenda mbali huko mbona ni rahisi- Nyerere alifanya vitu vya kijinga- kupaswi kumuenzi. Kumuenzi huku ukijua ni mjinga na hukubaliani naye- ndo kinyume cha maumbile.
Kwa ujumla kwa sera za CHADEMA sioni wanapokutana na Nyerere. Ndiyo maana nimesema wewe ni bora kuliko wote huko CHADEMA ila cha kushangaza ilikuwaje nawe ukaenda Butiama kwenye kaburi la Nyerere?
 
Kuna tofauti kati ya kukosoa na kudhihaki. Tume ya Warioba na ile ya Kisanga zote zimependekeza muundo wa muungano urekebishwe. Kwa hakika suala la mwenge nalo sasa linahitaji mjadala mpana.
 
Kuna tofauti kati ya kukosoa na kudhihaki. Tume ya Warioba na ile ya Kisanga zote zimependekeza muundo wa muungano urekebishwe. Kwa hakika suala la mwenge nalo sasa linahitaji mjadala mpana.
Sasa mnaenzi nini?
 
LABDA inategemea umeamkaje-

Sio hivyo. Headline ya ku-quote mtu ndivyo inavyoandikwa. Labda useme hujui hilo.

Kwa mfano, Majaliwa akisema, “Miradi yote ya kimkakati tutaikamilisha kwa wakati”, headline yake inakuwa:

Majaliwa: Miradi yote ya kimkakati tutaikamilisha kwa wakati
 
Mwenge ni ushirikina kama ushirikina mwingine. Ndio maana Nyerere alisema tujisahahihishe.
 
Asante- wahusika watafanya wakiona ni sawa
 
huna akili kweli mleta mada ,tarehe 14 sio tarehe yakufa mwenge au kuwashwa mwenge

Kilakitu kinazama zake kilichobakia mwenge uwe makumbusho na pale dodoma litengenezwe sanamu kubwa Basi
 
huna akili kweli mleta mada ,tarehe 14 sio tarehe yakufa mwenge au kuwashwa mwenge

Kilakitu kinazama zake kilichobakia mwenge uwe makumbusho na pale dodoma litengenezwe sanamu kubwa Basi
Sasa hiyo tatoo ya Bob Marley kwenye mapaja yako ni ya nini- au chama cha wavutaji?
 
Sasa hiyo tatoo ya Bob Marley kwenye mapaja yako ni ya nini- au chama cha wavutaji?
Haaaaaaa lumumba wamekumaliza mwezako sabaya anambiwa jitetee anasema anamchumba kamtolea Mali hivyo apunguziwe adhabu Kali acheni kujisahau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…