BAVICHA: Unamuenzije Nyerere huku unadhihaki Mwenge na Muungano

Nimesikitika sana kusikia BAVICHA ati wameenda Butiama kwenye kaburi la Nyerere kumuenzi. Naomba niwakumbeshe dhihaka zao kwa Nyerere.

BAVICHA-Mwenge upelekwe makumbusho
Lissu- wakati wa bunge la Katiba - Nyerere alikuwa laghai-
CHADEMA- serikali za ukabila za majimbo na kuvunja Muungano kwa kuleta serikali ya Tanganyika

AKILI NYINGI HUONDOA MAARIFA
Muungano huu ni sawa na mtu kumng'ang'ania hawara asiye kupenda. Utatoa gharama kubwa kulilinda pendo huku ukijua hakuna upendo hapo. Tanganyika ataendelea kubeba muungano kwa gharama kubwa zaidi. Huku tukijua hisia za wananchi juu ya muungano.
 
Kwenda kwenye kaburi la mtu usiyependa mambo yake ni kinyume cha maumbile
 
Nimesikitika sana kusikia BAVICHA ati wameenda Butiama kwenye kaburi la Nyerere kumuenzi. Naomba niwakumbeshe dhihaka zao kwa Nyerere.

BAVICHA-Mwenge upelekwe makumbusho
Lissu- wakati wa bunge la Katiba - Nyerere alikuwa laghai-
CHADEMA- serikali za ukabila za majimbo na kuvunja Muungano kwa kuleta serikali ya Tanganyika

AKILI NYINGI HUONDOA MAARIFA
Jamaa yako Sabaya Ole Mungiki kafungwa "sete yiaz wis hadi works"!Piga domo tu.😝😝😝😝😝😝😝
 
Kwenda kwenye kaburi la mtu usiyependa mambo yake ni kinyume cha maumbile
Nyerere alikuwa si mnafiki kama waliomfuatia. Alikiri makosa walioyafanya wakati wa enzi zake . Na aliwaomba WaTz wayaache wachukue mazuri yaliopo. Akayaandikia na kitabu, na akaukubali na udhaifu wa katiba iliopo. Leo akina Chief wameing'ang'ani

Sasa hawa wa sasa wao wanakiri nini ?!. UNAFIKI
 
Nimesikitika sana kusikia BAVICHA ati wameenda Butiama kwenye kaburi la Nyerere kumuenzi. Naomba niwakumbeshe dhihaka zao kwa Nyerere.

BAVICHA-Mwenge upelekwe makumbusho
Lissu- wakati wa bunge la Katiba - Nyerere alikuwa laghai-
CHADEMA- serikali za ukabila za majimbo na kuvunja Muungano kwa kuleta serikali ya Tanganyika

AKILI NYINGI HUONDOA MAARIFA
Hakuna haja ya kumgeuza Nyerere mungu, chukua mazuri ya kijinga achana nayo. (Ni kauli yake mwenyewe)
NB
Ni haki yao kuyakubali haya na kuyapuuza yale kama hayafai.

CCM walipuuza azimio la arusha wakakumbatia mwenge na Muungano usio na maridhiano.

Naamoni wapinzani hawaupingi Muungano ila wanataka muungano wenye maridhiano na makubaliano mazuri.
 
Nimesikitika sana kusikia BAVICHA ati wameenda Butiama kwenye kaburi la Nyerere kumuenzi. Naomba niwakumbeshe dhihaka zao kwa Nyerere.

BAVICHA-Mwenge upelekwe makumbusho
Lissu- wakati wa bunge la Katiba - Nyerere alikuwa laghai-
CHADEMA- serikali za ukabila za majimbo na kuvunja Muungano kwa kuleta serikali ya Tanganyika

AKILI NYINGI HUONDOA MAARIFA
Umeandika makorokocho gani ?
 
Wewe ni mpumbavu. Kwani ili ufanye kumbukumbu za mtu ni lazima uwe ulikubaliana nae kwa asilimia 100?? Walichokifanya Chadema na hata CCM ni kufanya kumbukizi ya maisha yake, sio KILA alilosema au kufanya!! Hata CCM hawataki kuenzi wazo la JKN kuhusu uanzishwaji wa vyama vingi! Wanatamani wangekuwa wenyewe tu!! Ndio kusema hawamuenzi?

Akili za kindezi kiasi hiki mnazitoa wapi? Halafu huko nyumbani unajulikana kama baba. Aibu tupu!!
 
Nimesikitika sana kusikia BAVICHA ati wameenda Butiama kwenye kaburi la Nyerere kumuenzi. Naomba niwakumbeshe dhihaka zao kwa Nyerere.

BAVICHA-Mwenge upelekwe makumbusho
Lissu- wakati wa bunge la Katiba - Nyerere alikuwa laghai-
CHADEMA- serikali za ukabila za majimbo na kuvunja Muungano kwa kuleta serikali ya Tanganyika

AKILI NYINGI HUONDOA MAARIFA
Nyie madogo. Mnavuta bangi hapo lumumba??
 
Back
Top Bottom