Revolutionalist
Member
- Jan 27, 2015
- 13
- 8
Akizungumza Na wanafunzi wanaosoma katika vyuo mbalimbali jijini mwanza katika kikao cha kuanzisha programu maalumu inayojulikana MOVEMENT FOR LIBERATION. Mwenyekiti Wa Bavicha nyamagana comrade Mwalimu john pambalu Na Mwanasheria wa Bavicha nuamagana KAMANDA Martine ERICK MUTTA. Waliaema kitendo cha polisi kumdharirisha MWENYEKITI Wa Cuf ni utovu Wa nidhamu Wa makusudi usioweza kuvumilika kwa gharama yoyote ile