BAVICHA NA CHASO Mkoa wa Dodoma wajiandaa kwenda muda huu mahakamani kumlinda Lissu

Mnamjua Magu au mnamsikia, mkusanyike sasa muone. Utawala huu hakuna atakayeingia barabarani.
Polisi niwatonye gaidi aliyeua chuo kikuu cha garrisa kenya kile chuo kikuu alikuwa mwanafunzi wa hapo dodoma.Hao wanaojidai wanafunzi msiwachulkulie kirahisi waweza kuwa magaidi.makomandoo.wakijitoa pua zao shoot and kill them .msihangaike kuwa capture killl.dodoma yawezekana ni magaidi wanafunzi location
 
Katika hali ya taaruki vijana wa Bavicha na chaso wilaya ya dodoma mjini wamekusanyika ofisi za wilaya kujipanga kwenda kwa nguvu kumlinda Mh. Tundu lissu ili kuweza kukabiriana na hao wananchi wakakamavu (polisi) ambapo wamejipanga kumkamata.

Wakieleza kwa nyakati tofauti vijana hao wamesema kwa sasa "kama mbwai na iwe mbwai" huku wakihamasishana kubeba zikiwemo silaha jadi ili kukabiriana na kile wanacho kiita uonevu kwa mwenyekiti wa makinikia nchini.

wamesema kwa sasa woga wote wameweka pembene na tayari kundi la vijana 30 lipo likijiandaa kwenda mahakamani kuimarisha ulinzi.

source: katibu wa chadema wilaya ya dodoma mjini
let's go.. let it be what it can be! we are tired!
 
Sawa Mkuu mimi nimetoa angalizo, tunawapenda ndugu zetu hatutaki wavunjwe miguu
Upendo sio kuwatia uoga watu.
Upendo ni kuheshimu sacrifice yao, ili generation yako ije iishi katika jamii yenye true democracy.
Kuvunjwa mguu ni ajali kazini tu.
rather die like a man, than live like a coward hermano.
 
unaumwa mafi we awbm! koko
Peleka mwanao maeneo ya mahakama ukiona humwoni yuko wapi kamtafute mortuary kwa nini mbowe lowasa sumaye lisu godbless.lema msigwa sugu nk kwa nini wasipeleke watoto wao hata kwa ndege za kukodi wakamlinde Lisu why watume the so called CHASO?
 
Tanzania nzima kuna wanachama chadema million 42 kwa takwimu ya uchaguzi mkuu askari tanzania nzima wako milioni 2 sasa tukilianzisha na hao askari tunaishi nao mtaa jakuna rangi wataacha hona.



Swissme
Nenda sasa Dodoma ukapambane
 
Upendo sio kuwatia uoga watu.
Upendo ni kuheshimu sacrifice yao, ili generation yako ije iishi katika jamii yenye true democracy.
Kuvunjwa mguu ni ajali kazini tu.
rather die like a man, than live like a coward hermano.
Wewe ni mmoja ya hao 30 Mkuu? Mnajua msiwachuze wenzenu wakati ninyi mko makwenu kwenye keyboards huku mnakunywa juice. Mkuu hapa unaandika vizuri lakini huko uliko ukiambiwa uingie barabarani huingii sasa kwa nini ushawishi wenzako wavunjwe miguu. Unafikiri nini tafsiri ya kukusanyika kuzuia polisi kufanya kazi yao?
 
Peleka mwanao maeneo ya mahakama ukiona humwoni yuko wapi kamtafute mortuary kwa nini mbowe lowasa sumaye lisu godbless.lema msigwa sugu nk kwa nini wasipeleke watoto wao hata kwa ndege za kukodi wakamlinde Lisu why watume CHASO?
Umeshakunya lakini!! haya nenda kalale wanaume wa ukweli wako kibaruani
 
Wakivunjwa miguu mimi simo wanataka kugeuza viwanja vya mahakama ile nini square ya misri kwa ujumbe wa watsap wa tundu lisu..Jeshi la polisi tumieni nguvu kubwa kuna migaidi ya kibiti itajichanganya na CHASO .Tundu anataka kuanzisha vita hakuna chaso inatumika Kama vehicle tu kuna watu wana magrunedi ya kurusha wadakeni wote wanaokuja eneo hilo na nguvu kubwa itumike bila huruma.if.possible kill

Hizo buku saba unazolipwa zisikufanye ujitoe ufahamu mpuuzi mkubwa wewe
 
Back
Top Bottom