BAVICHA NA CHASO Mkoa wa Dodoma wajiandaa kwenda muda huu mahakamani kumlinda Lissu

king Davidson

JF-Expert Member
Feb 9, 2017
252
1,063
Katika hali ya taaruki vijana wa Bavicha na chaso wilaya ya dodoma mjini wamekusanyika ofisi za wilaya kujipanga kwenda kwa nguvu kumlinda Mh. Tundu lissu ili kuweza kukabiriana na hao wananchi wakakamavu (polisi) ambapo wamejipanga kumkamata.

Wakieleza kwa nyakati tofauti vijana hao wamesema kwa sasa "kama mbwai na iwe mbwai" huku wakihamasishana kubeba zikiwemo silaha jadi ili kukabiriana na kile wanacho kiita uonevu kwa mwenyekiti wa makinikia nchini.

wamesema kwa sasa woga wote wameweka pembene na tayari kundi la vijana 30 lipo likijiandaa kwenda mahakamani kuimarisha ulinzi.

source: katibu wa chadema wilaya ya dodoma mjini
 
Kama nikweli,hakikisheni kuna visible guards na invisible guards ili kukabiliana na polisi vizuri.
 
Back
Top Bottom