Bavicha msiende Dodoma Chonde!!

Bavicha msiende Dodoma Chonde!!

Waacheni WAENDE...Kwani wako wangapi...... vikosi vya ulinzi vipo vya kutosha! Dodoma tuna vikosi kadhaa vya JW, FFU, JKT ambavyo vina kiu ya muda mrefu ya kufanya mazoezi!
Naamini vikosi hivyo vinatosha kabisa kuzuia mkutano huo wa CCM
 
Kuna watu/kikundi kinajaribu kuchokoza jeshi la polisi. Eti tarehe 22 na 23 July wataandamana Mjini Dodoma kuzuia mkutano mkuu wa CCM. Mkutano Mkuu huo ndio unaenda kuhitimisha uongozi wa Jakaya Kikwete katika chama na Rais wa sasa Dr. Magufuli kupokea kijiti rasmi na kuwa Mwenyekiti wa chama cha Mapinduzi..

Kundi la vijana wa Chadema wameamua kuchokoza jeshi la polisi. Wameamua kwa makusudi kabisa kuchezea sharubu za Simba. "Naomba kwanza nicheke kidogooooo hahahahaha"... Ni dhahiri vijana hawa hawajipendi.

Niwape tu ushauri wa bure.... Tarehe hizo kama unajipenda na kama unapenda familia yako, tafadhali usikanyage Dodoma. Unaweza kukutwa na kitu ambacho hukutegea. Nyie ni vijana wadogo nchi bado inawategemea kwa future. Achaneni na hayo mambo.. Jeshi la polisi la sasa liko imara halitaki kuchezewa sharubu.

NB:... Siku hiyo kaa nyumbani, angalia Tv (TBC) jinsi Magufuli anakabidhiwa chama...
 
Mnatia huruma wazee wa matukio. Hivi ikitokea siku matukio yakaisha wapenzani hasa chadema mtaongelea nini?
 
Waache waende vijana toka wamalize kozi bado hawajafanya practices
 
Mnatia huruma wazee wa matukio. Hivi ikitokea siku matukio yakaisha wapenzani hasa chadema mtaongelea nini?
Tukio la sukari linamaliza miezi sita hadi leo halijaisha,nchi inayoongozwa kwa mihemko kama hii haiwezi ishiwa MATUKIO,sawa jes..ca??
 
Bavicha mkienda Dodoma mjue tayari mtakuwa mmevunja amri ya Polisi na mtukufu ya kuzuia mikusanyiko au mikutano ya kisiasa na hatimaye mtatiwa hatiani kwa kuvunja sheria kwa kuwa sasa hali ya usalama sio nzuri Kama ilivyo tangazwa.

Tumieni Akili hata kidogo tuu, hivi mkienda huko Dodoma halafu mkavamiwa na Alsha baby au Alqaeda mkauawa mtamlaumu nani? Sisi sote tunao wajibu wa kutii sheria bila shuruti.

Chama kitakacho Fanya mikutano au maandamano kwa sasa hicho chama ni kikaidi, kiburi, na ni adui mkubwa Wa Amani yetu. Mambo ya siasa yamezuiwa kwa sasa mpaka itakapo tangazwa tena.

Msipambane na mhalifu anayetaka kuvunja sheria kwa makusudi, huwezi jua ana jivunia nini na ana siraha gani za kujihami, unaweza ukaenda wewe RAIA mwema na mapanga kumbe Adui ana siraha Kali za kivita mkaangamizwa.

Dodoma kuna Jeshi la polisi, JWTZ, Magereza, Uhamiaji na mgambo. Majeshi hayo yote yana vifaa vya kutosha kupamba na mhalifu yeyote na kuzuia mkusanyiko usio halali unao enda kinyume na sheria.

Mbona waliweza kuzuia mahafari ya Chaso na mikutano mingine mingi ya kisiasa watashindwa kuuzuia huo Wa CCM? Mbona hamna imani vijana na jeshi lenu tukufu?

Pelekeni taarifa polisi hizo za kiintelejensia kuwa kuna kikundi cha watu wahalifu kinapanga kukutana kinyume na Amri halali ya Polisi na mtukufu. Inawezekana polisi hawanasa habari ya kikundi hicho kufanya mkutano kinyume na Amri yake.

Lakini pia Kama kikundi hicho kitayazidi nguvu majeshi yetu yote na kikafanya mkutano wake kinyume na sheria au kikaachwa na kupewa ulinzi au upendeleo ili kivunje sheria basi sasa hapo BAVICHA itabidi mwende Mahakamani kukishitaki kwa kuhatarisha Amani na utulivu Wa nchi.

Mwl. Nyerere alisema "Misingi ya nchi hii imesha tikiswa, tukiendelea kuitikisa itabomoka" mwisho Wa kunukuu.
Karibuni kwa hoja zenye tija kwa taifa.
Real magic can never be made by offering someone else's liver. You must tear out your own, and not expect to get it back.

Our doubts are traitors, and make us lose the good we oft might win, by fearing to attempt.
 
Tukio la sukari linamaliza miezi sita hadi leo halijaisha,nchi inayoongozwa kwa mihemko kama hii haiwezi ishiwa MATUKIO,sawa jes..ca??
mambo ya SUKARI, VILAZI na KULA UROJO waachie CHADEMA/CHADOMO....... CCM focus on #hapakazitu#
 
Hii series imefikia patamu. Ngoja tuone move ya baba jessy kama ataamua kujitoa ufahamu au la.
 
Bavicha natamani muende dom ili muache watoto wenu wanahangaika huku nyie mkiozea segerea.
 
Ukiona nyani anamchokoza simba ujue kuna mti karibu. Sijui chadema watarukia wapi kwani wanajitafutia balaa kwenda dodoma eti kuzuia mkutano mkuu wa ccm. Mikutano ya kisiasa iliyokatazwa inaeleweka ila cdm wana lao. Wangetaka kuweka hali sawa wangeitisha mkutano mkuu wa cdm kumuidhinisha lowassa kama mwenyekiti wao wa chama waone kama wangezuiwa. Sio eti kwenda kuzuia mkutano mkuu wa ccm. Hapo wanatafuta kick kwa roho za watu kwenda icc.

Kwani yale maafali ya wanafunzi (Chadema) mliyotumia nguvu nyingi na pesa zetu kiyazuia yasifanyike ,yana tofauti gani na huo wa Chimwaga?
 
mambo ya SUKARI, VILAZI na KULA UROJO waachie CHADEMA/CHADOMO....... CCM focus on #hapakazitu#
Kazi ni pamoja na kuficha sukari na kupandisha VAT ili MWANANCHI aisome namba vyema??
 
Back
Top Bottom