Lituye
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 1,863
- 5,694
Bavicha mkienda Dodoma mjue tayari mtakuwa mmevunja amri ya Polisi na mtukufu ya kuzuia mikusanyiko au mikutano ya kisiasa na hatimaye mtatiwa hatiani kwa kuvunja sheria kwa kuwa sasa hali ya usalama sio nzuri Kama ilivyo tangazwa.
Tumieni Akili hata kidogo tuu, hivi mkienda huko Dodoma halafu mkavamiwa na Alsha baby au Alqaeda mkauawa mtamlaumu nani? Sisi sote tunao wajibu wa kutii sheria bila shuruti.
Chama kitakacho Fanya mikutano au maandamano kwa sasa hicho chama ni kikaidi, kiburi, na ni adui mkubwa Wa Amani yetu. Mambo ya siasa yamezuiwa kwa sasa mpaka itakapo tangazwa tena.
Msipambane na mhalifu anayetaka kuvunja sheria kwa makusudi, huwezi jua ana jivunia nini na ana siraha gani za kujihami, unaweza ukaenda wewe RAIA mwema na mapanga kumbe Adui ana siraha Kali za kivita mkaangamizwa.
Dodoma kuna Jeshi la polisi, JWTZ, Magereza, Uhamiaji na mgambo. Majeshi hayo yote yana vifaa vya kutosha kupamba na mhalifu yeyote na kuzuia mkusanyiko usio halali unao enda kinyume na sheria.
Mbona waliweza kuzuia mahafari ya Chaso na mikutano mingine mingi ya kisiasa watashindwa kuuzuia huo Wa CCM? Mbona hamna imani vijana na jeshi lenu tukufu?
Pelekeni taarifa polisi hizo za kiintelejensia kuwa kuna kikundi cha watu wahalifu kinapanga kukutana kinyume na Amri halali ya Polisi na mtukufu. Inawezekana polisi hawanasa habari ya kikundi hicho kufanya mkutano kinyume na Amri yake.
Lakini pia Kama kikundi hicho kitayazidi nguvu majeshi yetu yote na kikafanya mkutano wake kinyume na sheria au kikaachwa na kupewa ulinzi au upendeleo ili kivunje sheria basi sasa hapo BAVICHA itabidi mwende Mahakamani kukishitaki kwa kuhatarisha Amani na utulivu Wa nchi.
Mwl. Nyerere alisema "Misingi ya nchi hii imesha tikiswa, tukiendelea kuitikisa itabomoka" mwisho Wa kunukuu.
Karibuni kwa hoja zenye tija kwa taifa.