Bavicha msiende Dodoma Chonde!!

Mnyika ameamua kuwatolea uvivu ufipa .
Safi sana Mnyika, naona wanahaha kukuziba mdomo.

Chadema chama la madikteta lisiloruhusu MTU kutoa mawazo yake

Nyerere alisema lini?alikuwa wapi,? Acheni kumlisha mzee maneno mwacheni apumzike!

Mnyika ameamua kuwatolea uvivu ufipa .
Safi sana Mnyika, naona wanahaha kukuziba mdomo.

Chadema chama la madikteta lisiloruhusu MTU kutoa mawazo yake
TAARIFA KWA UMMA

Ipo hoja nyepesi mno iliyopikwa na Vijana wa Lumumba juu ya Mbunge wa Kibamba na Naibu Katibu mkuu wa CHADEMA John Mnyika kuwa alimkataa Lowassa

Hoja hiyo ni ya kupuuzwa kwa kuwa haina ukweli wowote ule, na nitalishangaa Jeshi la Polisi kuendelea kukaa kimya,na kumuacha aliepotosha Umma kwa kiwango kikubwa kiasi hicho,jambo ambalo limempa Usumbufu mkubwa Naibu Katibu mkuu kwa chama na Wananchi wake katika jimbo lake.

Nataka kuona nguvu ya Cyber Crime kama kweli sheria hiyo ni dhahiri ni msumeno au huwa inakata upande mmoja tu!.Mnyika ni Kiongozi mkubwa na katika Taasisi kubwa sana nchini CHADEMA,hapaswi kunenewa uongo kwa nia ya kuupotosha Umma naliomba jeshi la Polisi liingie kazini Mara moja kutimiza majukumu yake.

Imetolewa June 03

Edward Simbeye
Katibu Mwenezi BAVICHA Taifa

Tunataka Mnyika akanushe yeye.

Siyo kusaidiwa kukanusha na Nyumbu

Siwashauri hao chadema waende laa! Kama wataenda waende viongozi peke yao wasiwasababishie vijana majeraha yasiyo na sababu maana hapo ni kutaka kushindana na serikali bika kutumia busara, waachane na hiyo kitu hawa watu.

Tunataka Mnyika akanushe yeye.

Siyo kusaidiwa kukanusha na Nyumbu
Watu wenye nia ovu dhidi ya Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Kibamba, John John Mnyika, wamesambaza taarifa ya uongo mitandaoni kwa lengo la kupotosha umma wa Watanzania....

Wasambazaji wa uongo huo ambao ni wazi pia wana nia ovu dhidi ya CHADEMA na wananchi wazalendo wanaounga mkono mapambano ya kutafuta MABADILIKO na UHURU wa kweli nchini, wamesambaza taarifa hiyo wakilenga pamoja na mambo mengine;

1. Kumgobanisha JJ Mnyika na Watanzania wengi ndani na nje ya nchi wenye ambao wana imani nae kubwa kama kiongozi wao.

2. Kumgobanisha Ndugu Mnyika na wananchi wake wa Jimbo la Kibamba ambao walimpigia kura kutokana na imani kubwa waliyonayo juu yake kwa namna anavyowawakilisha bungeni lakini pia wanaoamini katika misingi imara ya CHADEMA katika kupigania mabadiliko na uhuru wa kweli kwa maslahi ya wananchi.

3. Kusababisha taharuki miongoni wa jamii kubwa ya Watanzania yenye mapenzi na matumaini makubwa juu ya CHADEMA na viongozi wake katika kuamua mstakabali wa nchi hii.

4. Wanalenga kuhadaa Watanzania Watanzania kwa kubadili mijadala ili umma uanze kujadili vitu vya kutengenezwa badala ya mijadala mikubwa inayoendelea nchini kwa sasa, kama vile; bajeti inayomuongezea maisha magumu kila Mtanzania, udkiteta uchwara unaovunja katiba na sheria za nchi, kauli tata za viongozi zinazoonesha kuwa Serikali ya CCM iko katika anguko la kisiasa kutokana na kuishiwa busara ya uongozi, hoja, mbinu na mikakati ya kuiongoza nchi.

Katika hatua ya sasa wakati tukitoa wito kwa Watanzania kupuuza taarifa hiyo ambayo pia ina lengo la kutaka kuwaondoa kwenye mjadala muhimu wa kuiondoa CCM madarakani, tunataka Mamlaka za Serikali zinazohusika zichukue hatua za haraka kisheria, hususan kwa mujibu wa Sheri ya Makosa ya Mtandaoni, dhidi ya wote waliohusika kusambaza taarifa hiyo ambayo leo imeibua taharuki kubwa bila sababu za msingi.

Wakati tayari Mnyika amekanusha taarifa hiyo, tunatoa wito kuwa mamlaka hizo zioneshe kuwa zina uwezo wa kuchukua hatua kwa kutumia sheria hiyo kwa wakosaji hasa kama ilivyofanyika leo, kuliko kuonesha umahiri wa kuitumia sheria hiyo kisiasa kuwabambikia kesi wale wanaotumia uhuru wa kikatiba wa kutoa maoni yao kuipinga serikali ya CCM na viongozi wake, hasa pale wanapovunja Katiba na Sheria za Nchi.

Imetolewa leo Jumapili, Julai 3, 2016 na;

Tumaini Makene
Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano
CHADEMA

Kwani hicho kikundi ni cha kisiasa? Just curious....dont tell me curiosity killed the cat

Back
Top Bottom