BAVICHA kuzunguka nchi mzima kufanya mikutano ya ndani

Huu utoto unazidi kufanya umma uzidi kuwaona wasanii tu. Siasa zinawashinda badala yake mnataka kutumia vijana ili mbaki kwenye headlines. Akili zenu zimeishia hapo? Mkishindwa uchaguzi 2020 mtazira tena matokeo na kuanza kuzuga eti "patachimbika". Badala ya mikakati ya tume huru, katiba mpya iliyopingwa na EL n.k mnacheza rede na CCM while yenyewe ina dola!
 

Hawa nao inaelekea hawana washauri wazuri...kuna haja ya kutangaza kuwa watafanya mikutano ya ndani nchi nzima??...Why can't you learn you people?? Siasa za ujivuni zimepitwa na wakati...Kwa maoni yangu kadri mnavyozidi kupambana na dola ndivyo mnavyozidi kuonekana kuwa ni chama cha fujo....Kama mnafanya mikutano ya ndani hamna haja ya kutangaza kwani hiyo ni mikutano ya ndani...Ila ikiwa hiyo mikutano ya ndani inageuka kuwa ya uchochezi, sasa hapo ni tatizo...
 
Kama unafikiri ni utani stay tune Bavicha hawana utani wa UVCCM
 
Mkutano wa kikatiba umesharuhusiwa
 

Hao vijana ni group la wapumbavu ambao wanatumika na wanaume wenzao.. Zunguka nchi nzima kuwahamasisha vijana wachape kazi na kujenga nchi yao, zunguka nchi nzima kutoa semina za ujasiriamali kwa vijana.. Sasa hao wapuuzi wanazunguka kumsifia lowassa na mbowe
 
Mkutano mkuu wa Ccm siyo wa ndani? Mbona mnautangaza?
 
Tafuta kazi ya kufanya mkuu siasa zitakutia wendawazimu tu. Vijana tujifunze kulinda maslahi yetu na sio siasa zinazonufaisha "wazito" wenye malengo yao binafsi.
Wanakuandalia maslai yako na wengine pia hao Bavicha
 
Mkutano wa kikatiba umesharuhusiwa


Sasa kama mikutano ya kikatiba imeruhusiwa kuna haja gani ya kutangaza kuwa 'sisi' tutafanya mikutano????!!!! Kwa hakika mimi CHADEMA huwa siwaelewi kabisa, kwanini mnalalalamika lalamika sana?? Yaani siku zote your drive ni kujenga picha kuwa mnaonewa why???
 
Sasa huo mkutano wa ccm kwani si unafanyika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…