BAVICHA kuitisha maandamano ya kitaifa kumg'oa Dr. Slaa!

Status
Not open for further replies.
Thats what am doing,U should hear ma voice timesly in ur mind evacuating an old Mamalia Skeleton named BABU.

So I have no best option like what i made(FIGHTING AGAINST POLITICAL TRAITORS)
quote_icon.png
By TUNTEMEKE
Itapendeza kama siku ukiamua kujibu hivi kwa viongozi wote wa chadema wanapokutwa na maswahiba.Lakini kwa unafiki wako uliozoeleka naona kama unajibaraguza kupunguza makali ya uchafu,unafiki wa dr.slaa ndani ya taifa hili teule la mani.
Tunajua yapo mengi ya kujadili..Lakini hayo mengi hayatuzuii kuwashughulikia wazee wakorofi kama huyu BABU.Lazima ashughulikiwe kam stahiki yake.na ikiwezekana Inatakiwa aadhibiwe mbele ya Josephine na ROse kamili viboko 12 mbele yao,Na 12 anavyofukuzwa chama pale mtaa wa UFIPA.




Nakuuliza mkuu
Unaongelea adhabu kama hakimu au kama mpiga debe?
 
hapo kwenye red.
WHO IS SLAA BY THE WAY?????
UKISEMA MBOWE AU ZITTO N,K NAWEZA SHIKA KICHWA...LAKINI KWA HUYU MSALITI HATA SIKIO HALITIKISIKI.ZAIDI TUTAWEKA SHEREHE YA KITAIFA.

Unakesha hapa JF kila siku ukimtukana na kumdhihaki Dr. Slaa halafu bila hata aibu unataka kudanganya watu kwamba humhofii? eti ni nani?
Kawadanganye waganga njaa wenzako sio sisi watu na akili zetu. Kama Dr. Slaa si chochote si lolote si mngempotezea? kwanini kukesha mitandaoni kumuandika kama kweli hawanyimi usingizi? Mkiambiwa mmeshikiwa akili mnatokwa mapovu lakini huu ni ushahidi wenyewe kwamba akili zenu kwa sasa ziko likizo hivyo kwa wakati huu mnatumia za kuazima.
 
Kijana leo umejitahidi sana, wahi lumumba ukachukue posho kabla jua halijazama!!!!!!!!!!!!

Nape please huyu leo kamwaga pumba za kutosha muongezee posho moja na robo.
:A S cry:
Tijadiliane endapo Mbowe akatoa tamko la kumsimamisha Dr.slaa ukatibu mkuu,Na mkutano mkuu ukaitishwa kama inavyotarajiwa wakaamua Dr.slaa afukuzwe uanachama.
WEWE KAMA BALOZI WA CHADEMA UTAREACT VIPI?

 
unakesha hapa jf kila siku ukimtukana na kumdhihaki dr. Slaa halafu bila hata aibu unataka kudanganya watu kwamba humhofii? Eti ni nani?
Kawadanganye waganga njaa wenzako sio sisi watu na akili zetu. Kama dr. Slaa si chochote si lolote si mngempotezea? Kwanini kukesha mitandaoni kumuandika kama kweli hawanyimi usingizi? Mkiambiwa mmeshikiwa akili mnatokwa mapovu lakini huu ni ushahidi wenyewe kwamba akili zenu kwa sasa ziko likizo hivyo kwa wakati huu mnatumia za kuazima.

jf ndio mtandao ninaoupenda zaidi katika dunia hiii..popote nipo nasafiri nao.
Babu ndio nini wewe???nikeshe kumuandika yeye kwa kipi alicho nacho zaidi zaidi anaweza kuiba mke wangu.
Wewe kijakazi wake ndio unaweza kukaa na kumtegemea akupe msosi.mm babu namwona kama mpita njia tu ndio maana hata yeye akinipigia simu anaongea kwa heshima,namchambua mwanzo mwiisho.
 
mimi nasubiri hayo maandamano ya bavicha, tena kama huyo magafu anaamini kwamba ana ushawishi kwa vijana anaowaongoza aanzishe maandamano huko mwanza kabla ya kufikiria nchi nzima kwakuwa ukizungumzia nchi kuna mwenyekiti wa taifa.

Narudia tena kama hao "vijana njaa" wanadhani wako sahihi na wana uungwaji mkono wa wenzao basi waitishe maandamno mkoani mwanza ama jijini mwanza ili kuthibitisha uungwaji mkono wa vijana wenzao.

utaumia sana babu aking'olea kile kibanda chako mbagala sijui utamaliziaje kwasabu kamshahara katakata.
Hahahha pole sana babu amejikwaa kwenye kinyesi cha tembo lazima aende chini
 
Kulikuwa hakuna haja ya kuanzisha thread nyingine.Ungechangia tu kulekule ulipoquote.Mnawapa airtime sana hawa mabwege.
 
Itapendeza kama siku ukiamua kujibu hivi kwa viongozi wote wa chadema wanapokutwa na maswahiba.Lakini kwa unafiki wako uliozoeleka naona kama unajibaraguza kupunguza makali ya uchafu,unafiki wa dr.slaa ndani ya taifa hili teule la mani.
Tunajua yapo mengi ya kujadili..Lakini hayo mengi hayatuzuii kuwashughulikia wazee wakorofi kama huyu BABU.Lazima ashughulikiwe kam stahiki yake.na ikiwezekana Inatakiwa aadhibiwe mbele ya Josephine na ROse kamili viboko 12 mbele yao,Na 12 anavyofukuzwa chama pale mtaa wa UFIPA.

Kama adhabu ndo malengo yako, umefikia wapi au ndo kupiga kelele za chura? hakimu atakuwa tuntemeke na shahidi Nape

Tuambie je ufisadi wa Richmond na meno ya tembo ndani ya meri ya kinana umefikia wapi pia?
 
jf ndio mtandao ninaoupenda zaidi katika dunia hiii..popote nipo nasafiri nao.
Babu ndio nini wewe???nikeshe kumuandika yeye kwa kipi alicho nacho zaidi zaidi anaweza kuiba mke wangu.
Wewe kijakazi wake ndio unaweza kukaa na kumtegemea akupe msosi.mm babu namwona kama mpita njia tu ndio maana hata yeye akinipigia simu anaongea kwa heshima,namchambua mwanzo mwiisho.

Ile kashfa ya Rada, chenge na vijisent imefikia wapi maana 10% aliipeleka ccm, bado ccm inaendeleza ushirika na mafisadi
 
Muwe na aibu basi hata kidogo!!!! yaani kama hamjui DR.SLAA mnampaisha kinoma, maana sasa kila mtu ameanza kujiuliza kuna nini nyuma.CCM hofu kuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuubwa sababu ya wizi wenu na akikamata serikali huyo mnayemuita kibabu sijui mtakimbilia wapi!!!!!!!!!!maana yeye shida yake ni kurudisha nidhamu ya kazi serikalini kwa hiyo wezi bye bye
 
Taarifa yenyewe iko very amateurish. Poor you.

Halafu mambo kama ya kumuunga mkono Matata wa huko Mwanza inaonyesha jinsi ilivyo ya ki-magamba.

Huyo Magafu na wenzake kwani hawajui kuwa katiba ya chama chao cha kwenye damu (CCMagamba) inasema kuwa ukishakuwa mwanachama wa chama kingine cha siasa basi automatically unapokoma kuwa mwanachama wa CCMagamba?

Huyo Matata yatamkuta kama ya madiwani wa Arusha. Chezea Prof Safari weye...
 
Kukakamatwa meli ya kinana ikiwa na meno ya tembo bila hatua kuchukuliwa ni ushahidi tosha CCM inalea mafisad

Kinana hafai kuwa katibu mkuu wa ccm ni mchafu hawezi kuruhusu meli yake kusafirisha nyala za serikali
 
Pamoja na yote ambayo yanaandikwa na yatakayoandikwa dhidi ya Chadema, ni dhahiri kuwa ndicho chama pekee ambacho mpaka sasa kimejipambanua katika kuleta mabadiliko halisi ya maendeleo katika jamii ya Ki Tanzania. Ni chama hicho pekee ambacho kimeweza kufichua mengi mabaya ambayo yamefanywa na viongozi wa CCM, viongozi ambao mpaka sasa bado wanaongoza hicho chama. Si ajabu basi kuwa wananchi wengi sasa wanavutiwa na Chadema, na mbinu zozote zile za kukichafua hazitafua dafu.

Jambo ambalo CCM walitakiwa kufanya ni kujirekebisa, kuondoa viongozi ndani yake ambao ni mafisadi na wabovu na kufuata misingi ambayo chama hicho ilikuwa nayo ambayo ilikuwa ni ya kuwatetea wananchi. Hata hivyo kwa CCM kufanya hivyo itakuwa ni vigumu kwa vile chama hicho kwa sasa kimesimama juu ya misingi ya kifisadi kikiongozwa na viongozi wake wa juu.

Kwa kumalizia tu, majaribio yote haya ya kukipakaza matope Chadema na viongozi wake hakutafua dafu na juhudi zote hizi hasa za mitandaoni ni mbio za tu za panya ambazo mwisho wake huishia ukingoni, (na mwisho wa panya ni kudakwa)!
 
Hao ni kenge kwenye msafara wa mamba, cdm wa ukweli hii cio ishue, ukizingatia ccm wanafanya kila liwezekanalo kuua upinzani
 
CHADEMA iwe makini sn na wanachama wanaohamia na kuwapatia nyadhifa kubwa ndani ya chama, real huu co upepo mzuri kwa haya mapandikizi yanayochanua sahv, huu ni mpango wa shetani na viumbe wake na kamwe hautashinda, CDM hebu mjitahidi kumulika hawa mashetani Tz nzima!!
HATA KAMA MTAKIMBIA VIJANA MAMLUKI WOTE TUTAKAOBAKI TUTAWASHA TAA AMBAYO HAITAZIMA, JAMANI tuyapishe haya mapandikizi yaondoke ibaki Cream.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom