BAVICHA kuitisha maandamano ya kitaifa kumg'oa Dr. Slaa!

Status
Not open for further replies.
mkuu mwita maranya, magafu na mpuuzi mwenzake nape wamepanga kuwavalisha magwanda uvccm wandamane nchi nzima kumpinga dr slaa, kitendo ambacho bavicha mbeya hatutakubaliana nacho, wakithubutu tutawasambaratisha wa kuwapopoa kwa mawe.

ungejua bavicha mbeya ndio inafuata kutoa tamko wallah usingejidanganya...nakuhakikishia mbeya soon wanatoa tamko.arusha ndio kabisaa
tena wanafanya press kwa kualika wajumbe wote wa mkoa.nadhani utajinyonga wewe kijana
 
mimi ninao hawa kolikoli yaani ninavyoipenda jf hasa jukwaa la siasa akhaa sitoki
nitanyoka nao wamezoea hawa kuleta upuuuzi wao kwenye mambo serious ya kujenga chama.

dr.slaa yyeye ndio dreva wa hawa wanafiki na wababaishaji wa kisiasa..sasa yeye na mazalia yake yote tutayamaliza soon.hili hatoki.​

Tangu asubuhi umefanikiwa malengo mangapi ukifanya assessment? maana wenye chama wala hawakusikii kama vile

unatwanga maji maana huna maamuzi yoyote zaidi ya haya mabandiko yako.
 
mbona huwa mnakuwa kubomoa viongozi wengine wa chama chadema hiii hiii ..tena makosa yao ya kutungwa.
lakini babu amekili kwamba anakadi ya ccm,sasa kwa nini tmbembeleze mtu kama huyu.chadema gani inafuga maharamia wa kisiasa?
Yaani babu kwenye hili hatoki lazima apewe makavu,amezoea kuwa msaliti ha CCuyu mzee

Kwa Dr Slaa kuwa na kadi ya CCM amevunja kifungu gani cha katiba ya chama?Je katiba ya chama inaruhusu mtu kuwa mwanachama wa vyama zaidi ya kimoja?ikiwa Dr ni mwanachama wa CCM ndani ya CDM,je hauoni upandikizi wake kuwa na manufaa zaidi kwa CDM kuliko kwa CCM?Hujiulizi kama msomi swali hili,Ikiwa Dr Slaa angekuwa ni pandikizi lao,CCM wangemwacha azidi kuwaumiza,Rejea alipoitikisa CCM kwa kutaja orodha ya aibu akimuingiza "mwenyekiti wake"?Pia hujiulizi ni kwa nini CCM wanamwandama sana Dr Slaa ambae ni "mtu wao"wakati huohuo wanamsifu na kumpandisha ZZK kwa nguvu zote?Hujiulizi pia ni kwa nini magazeti ya CCM na serikali yao humpamba sana zzk ambaye ni "mpinzani" na kumzushia Dr Slaa Kashfa kibao?.Kumbuka,ni jambo la ajabu adui yako akisifia mbinu zako za mapambano dhidi yake.Enyi akina Tuntemeke & Co kaeni mkijua kuwa historia itakuja kuwahukumu vibaya sana kwa usaliti wenu,ni afadhali muhamie CCM kabisa kuliko kuendelea kuudhalilisha utu wenu kwa njia hii mnayoitumia,Pia tambueni kuwa,huyo ZZK ambaye mnaamini mnamjenga,ni mwathirika mkuu wa vitendo na kauli zenu hivyo mnazidi kumbomoa kwa kasi,Nashuku ZZK kwa kuliona hilo sasa hadi akawaita nyie wapuuzi na mnafanya upuuzi!
,
 
babu,pole sana mara kwa mara unaagiza vijana wako waje waangalie hali ipoje, unaona upepo huu si o kabisa,vijana wako wamecharuka wanatka kukung'oa pale ufipa.
Lakini ndio haki ya mtu mnafiki na ndumila kuwili kwnye vyama vya siasa.

TUNTEMEKE umepata chakusema maana wewe vita yako huwa ni kumuwinda Dr Slaa. Naona umewaomba mods wakufungulie ili ushadadie hii ishu ya kadi. Tuhuma zako kwa Dr Slaa hujaanza leo na hujawahi kufanikiwa hata1, na hii nakuhakikishia hutashinda.
 
kwa dr slaa kuwa na kadi ya ccm amevunja kifungu gani cha katiba ya chama?je katiba ya chama inaruhusu mtu kuwa mwanachama wa vyama zaidi ya kimoja?ikiwa dr ni mwanachama wa ccm ndani ya cdm,je hauoni upandikizi wake kuwa na manufaa zaidi kwa cdm kuliko kwa ccm?hujiulizi kama msomi swali hili,ikiwa dr slaa angekuwa ni pandikizi lao,ccm wangemwacha azidi kuwaumiza,rejea alipoitikisa ccm kwa kutaja orodha ya aibu akimuingiza "mwenyekiti wake"?pia hujiulizi ni kwa nini ccm wanamwandama sana dr slaa ambae ni "mtu wao"wakati huohuo wanamsifu na kumpandisha zzk kwa nguvu zote?hujiulizi pia ni kwa nini magazeti ya ccm na serikali yao humpamba sana zzk ambaye ni "mpinzani" na kumzushia dr slaa kashfa kibao?.kumbuka,ni jambo la ajabu adui yako akisifia mbinu zako za mapambano dhidi yake.enyi akina tuntemeke & co kaeni mkijua kuwa historia itakuja kuwahukumu vibaya sana kwa usaliti wenu,ni afadhali muhamie ccm kabisa kuliko kuendelea kuudhalilisha utu wenu kwa njia hii mnayoitumia,pia tambueni kuwa,huyo zzk ambaye mnaamini mnamjenga,ni mwathirika mkuu wa vitendo na kauli zenu hivyo mnazidi kumbomoa kwa kasi,nashuku zzk kwa kuliona hilo sasa hadi akawaita nyie wapuuzi na mnafanya upuuzi!
,
hapo kwenye red namimi ninafurahi kweli kweli,kwa hiyo tumefurahi pamoja.
Nashukuru zitto kwa kuwambia ukweli kwamba sina uhusiano naye wowote nampenda kama mwanachama wa chadema
nampenda kama mwasiasa safi ndnai ya nchi hii teule ya tanzania,nampenda kwasababu ni kijana anayesimamia ukweli na haki katika hoja zake
namkubali zitto sana tena sanaaaaaaaaaaaaaaaaa
hanifahamu lakini mm namfhamu kwa picha,namkubali kupita maelezo
ndani ya chadema sioni kama yeye,ndnai ya taifa hili sioni kama yeye
zitto kabwe my next president
nilisema zitto ni my icon siku zote za maisha yangu\]
i love u zitto zubberi kabwe
mbunge wa kigoma kaskazini
 
tuntemeke umepata chakusema maana wewe vita yako huwa ni kumuwinda dr slaa. Naona umewaomba mods wakufungulie ili ushadadie hii ishu ya kadi. Tuhuma zako kwa dr slaa hujaanza leo na hujawahi kufanikiwa hata1, na hii nakuhakikishia hutashinda.

kwani hizi ni tuhama?its no allegation..niali confirmed issue ambayo babu kakili kabisa anamiliki kadi
dr.slaa ni mnafiki na ndumila kuwili wa kisisasa
 
Na kuhakikishia kwa huu upuuzi+ujinga wa Bavicha ambao wanasikika siku ya matukio hauwezi kusikilizwa na mtu mwenye utimamu!

Dr slaa ni kiongozi shupavu asiye yumbishwa na propaganda za kijinga kama hizi na kamwe zitashindwa na kuhakikishia!

Na mtahangaika sana, tunajua wewe una vita binafsi na Dr wala upiganii chama ni unafiki na fitina!



kama unajiaminisha hivyo,maana yake naweka tick kichwani mwangu kwamba wwe ni moja waasi wa kidemokrasia ndani ya nchi wanaoshirikiana na dr.slaa
lakini kama dr.slaa ni binadamu kama mm,nakuhakikishia tang'oka huyu mzee,amekimbia kanisani sembuse kwenye chama cha kisiasa?
Amekimbia ndoa yake halali yenye matunda ya watoto na kwenda uhamiaji sembuse chama cha kisiasa.
P
 
Tuntamenke hivi huna kazi ya kufanya nyingine toka asubuhi uko hapa hebu kajenge basi hiko chama unachokipigania hutoki kwenye keyboard unaponda watu siku nzima toka basi uje nje muandamane tuwaone wenye uchungu na chadema vijana njaa nyie.

Dr yupo chadema zaidi ya miaka 17 eti leo awe pandekizi.tulivuka vizingiti kibao salama ili la kadi suala dogo sana nalo litavukwa tu.

Na tutasonga mbele imara
 
tangu asubuhi umefanikiwa malengo mangapi ukifanya assessment? Maana wenye chama wala hawakusikii kama vile

unatwanga maji maana huna maamuzi yoyote zaidi ya haya mabandiko yako.
nakutia hasira eeeh
lakini huwa mnashadidia sana zitto akianza kupigwa hapa jf kwa unafiki wenu,ila leo limewafika nyie mnahaha kutoka walllah siwaachi hapa pandisha hasira hadi uzile kula leo but babu lazima apewe viboko kwa kosa la kukutwa na kadi ya ccm
 
hahaaaaaaaa umeshikwa pabaya kama babu alivyoshikwa pabaya.
Tuntemeke pambana nao hawa wanaojaribu kutakatisha kaniki rangi inajulikana

mimi nanyooka nao hawa,wnamsafisha babu ili hali ni mnafiki na ndumila kuwili
bavicha hamasishaneni tuingine barabarani kumtoa huyu mzee pale ufipa
huyu mzee amekuwa akikichafua chadema kila siku
 
BAVICHA Mbeya itafata maana Shonza na Mwampamba wanatoka kule..lakini nawaambia hamtafanikiwa na hiyo agenda yenu.
 
Tujipange kwa hoja zenye nguvu, na siyo mchezo mchafu wa kisiasa namna hii. Tueleze wananchi jinsi tunavyo timiza ahadi zetu tulizotoa wakati wa kuomba kura, na siyo mchezo wa kitoto namna hii. HII NI AIBU KWA CHAMA KIKONGWE KAMA CHAMA CHETU.
 
na kuhakikishia kwa huu upuuzi+ujinga wa bavicha ambao wanasikika siku ya matukio hauwezi kusikilizwa na mtu mwenye utimamu!

Dr slaa ni kiongozi shupavu asiye yumbishwa na propaganda za kijinga kama hizi na kamwe zitashindwa na kuhakikishia!

Na mtahangaika sana, tunajua wewe una vita binafsi na dr wala upiganii chama ni unafiki na fitina!

endelea kuhakikisha lakini bavicha ndio wameshakianzisha huko,babu lazima ang'olewe,amezoea kuwa msaliti huyu mzeee
sakata la mke wa mtu lilikuwa ni adhabu tosha lakini hakomi anbatusaliti wanaharakati,watetezi wanahcdema wa kweli..inaumaaaaaaa sana
12 ikiingia gerezani..kuminambili mbele ya mama junior
 
tujipange kwa hoja zenye nguvu, na siyo mchezo mchafu wa kisiasa namna hii. Tueleze wananchi jinsi tunavyo timiza ahadi zetu tulizotoa wakati wa kuomba kura, na siyo mchezo wa kitoto namna hii. Hii ni aibu kwa chama kikongwe kama chama chetu.

unakimbilia kusema hivi kwasababu ni babu lakini angekluwa shibuda hapa wallah angetolewa roho
lakini leo babu kanasa kwenye tundu bovu..amejimaliza kisiasa yeye mwenywe
 
380365_386208028140058_1290354281_n.jpg

NADHANI KWA HALI ILIVYOTETE YULE KIJANA MFANYAKAZI WA DR.SLAA NDUGU BEN ATAKUWA YUPO BUSY ANACHOMA KADI YA BABU KUFICHA USHAHIDI.
LAKINI ITAKUWA NI KAMA KUKU KUFICHA KICHWA ILI HALI MWILI WAKE WOTE UPO NJE NA UNAONEKANA NA ULIMWENGU MZIMA.
DR.SLAA KADI YA CCM ITAKUNG'OA CHADEMA AMINI USIAMINI UPO KWNEYE KOMA​

Hahahahahhhhhaha kama kuna siku nimecheka ni leo ,hakika tuntemeke ur very clever
 
bavicha mbeya itafata maana shonza na mwampamba wanatoka kule..lakini nawaambia hamtafanikiwa na hiyo agenda yenu.

bavicha arusha anatoka nani?bavicha tanga anatoka nani?..utataja hadi jina la mkweo kwa kusingizia watu
 
bado nina imani na dr.Slaa kwa %100 hivyo siwaelewi kabisa mapimbi wanaorukaruka humu jf...dr.Slaa hili ndio tanuri la moto analosemaga mkuu Pasco mpaka kufika 2015 wakatiumeiva kwa kukabidhiwa nchi...viva chadema.viva dr.Slaa Mungu akujalie afya njema.
 
Last edited by a moderator:

unakimbilia kusema hivi kwasababu ni babu lakini angekluwa shibuda hapa wallah angetolewa roho
lakini leo babu kanasa kwenye tundu bovu..amejimaliza kisiasa yeye mwenywe

Ikitokea maandamano "yakumng'oa Dr Slaa" yakafanyika kweli nenda ukahudhurie halafu uje hapa kutuambia mlikuwa wangapi na mme-achieve nini! Kumbuka kuwa hata shetani anamchukia Mungu, kwa mantiki hiyo chuki zako kwa Dr Slaa (and call him whatever you like) hazitabadilisha kitu kilichopangwa na Mungu kitokee. Got it you pathetic imbecile????
 

unakimbilia kusema hivi kwasababu ni babu lakini angekluwa shibuda hapa wallah angetolewa roho
lakini leo babu kanasa kwenye tundu bovu..amejimaliza kisiasa yeye mwenywe
Mkuu, huoni kama hayo ni mapandikizi, Haniingii akilini, wala sipendezwi kuona chama changu kinaingia kwenye mchezo ambao hata mtoto mdogo atagundua kama ni upandikizi. Tufanye kama chama kikongwe, na siyo kubabaishwa na tuvyama tudogo kama hutu. Tueleze sera zenye mshiko na siyo kupanda mamluki. HII NI AIBU KWA CHAMA CHANGU.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom