BAVICHA, jitofautisheni na UVCCM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

BAVICHA, jitofautisheni na UVCCM

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Rweye, Jan 12, 2012.

 1. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #1
  Jan 12, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,061
  Likes Received: 3,089
  Trophy Points: 280
  Makamanda wetu na wapiganaji wetu Bavicha mnaelewa kuwa nyinyi ndo tegemeo la ukombozi wa vijana hapa Tanzania kwa sahvi?mnalielewa hili kwa kiasi gani?

  Nimeanza na swali hili kujaribu kuweka msisitizo na kama ikiwezekana kukumbushia kwamba nyinyi ndo nguzo ya kuwaleta vijana pamoja na kuwaelekeza wafanye nini,kwa mda upi na kwann wafanye hvyo lakini bahati mbaya hamuonekani hivyo na badala yake mnaonekana kwenye Tv mkitoa ripoti na matamko kisha kila mmoja anarudi kwake kama wanavyofanya Uvccm ikifika wakati wa NEC yao

  Bavicha nendeni vijijini mkakutane na vijana wenzenu,mkajue shida zao,mkawape mikakati na mkawajue na wao wakawajue,acheni harakati za kutoa matamko na kukaa chini,ili CDM ishinde 2015 tunategemea vijana wakapige na kuichagua CDM,sasa nyinyi mnafanya nn ili kupata ushindi huo ama mnategemea nn ikifika 2015 na vijana wasiwe upande wa chama?mnadhani mtaeleweka?

  Tunataka kupitia idara yenu ya mipango,sera na mawasiliano mje hapa mtwambie mmepanga kwenda vijiji vingapi katika nusu ya mwaka huu,tunataka hilo.

  PEEEPOOOOOOOOZ...!!
   
 2. M

  Makupa JF-Expert Member

  #2
  Jan 12, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,742
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  viongozi wab Bavicha wako pale kwa ajili ya kuja kugombea ubunge na si vinginevyo
   
 3. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #3
  Jan 12, 2012
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,694
  Trophy Points: 280
  Una uhakika mkuu? kma unajua waliopo wataje....vinginevyo uache kufanya generalization !
   
 4. J

  JACADUOGO2. JF-Expert Member

  #4
  Jan 12, 2012
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 930
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mtoa mada nimekusoma vizuri na hata mimi naungana na wewe kuwasisitizia viongozi wa BAVICHA kuwa vijijini bado mwamko kwa kweli ni mdogo sana na zile kura za vijijini tunazihitaji sana!
  Mimi nimejaribu kufanya mchakato ktk vijiji vya kata yangu ya NYAHONGO RORYA na 2011 kwenye uchaguzi mdogo niligombea udiwani kwa tiketi ya CHADEMA nikagundua kuwa vijijini hali bado ni tete lakini tukipata ushirikiano kutoka kwa viongozi wa BAVICHA 2015 nchi ni yetu!
   
 5. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #5
  Jan 12, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,061
  Likes Received: 3,089
  Trophy Points: 280
  You said it right brother...it is time now to do the right things
   
 6. Mkondakaiye

  Mkondakaiye JF-Expert Member

  #6
  Jan 12, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 839
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  BAVICHA vijana wa vijijini wanawasubiri, jipangeni muende huko. Matamko toeni na vijijini nendeni.
   
 7. democratic

  democratic JF-Expert Member

  #7
  Jan 12, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 1,644
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  naunga mkono hoja
   
Loading...