John Marwa
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 275
- 28
Wamepata wapi hela? Lazima mtuweke wazi isije ikawa mnatumia posho za vikao mlizozikataa kuanzisha makombe ya mbuzi. Huo utakuwa ni unafiki mkubwa.

Wamepata wapi hela? Lazima mtuweke wazi isije ikawa mnatumia posho za vikao mlizozikataa kuanzisha makombe ya mbuzi. Huo utakuwa ni unafiki mkubwa.
Hizo posho ni za walipa kodi sasa zikirudi kwao kuna tatizo gani kuliko kwenda kunufaisha mabenki ya Swiz bora kutumia kwa watanzania wenyewe.Wamepata wapi hela? Lazima mtuweke wazi isije ikawa mnatumia posho za vikao mlizozikataa kuanzisha makombe ya mbuzi. Huo utakuwa ni unafiki mkubwa.
Kumbe wewe ni mshirikina, pole sana kijana. Karne hii ya sayansi unawaza kuloga?

Hivi mtu kama wewe na aina hizi za comment ukirogwa utalalamika?

Nimeona mechi moja kata ya Kingori nilichogundua wengi sio wakazi wa arusha wanaocheza inaonekana wanatoka Tarime maana kupigana na matusi ni nje nje halafu cha kushangaza wachezaji hawavai jezi wanavaa magwanda kama ya mgambo na chini ni bukuta ya kaki! Wanunulieni jezi basi na viatu!
BAWACHA, Baraza la vijana Wahuni wa CDM. Hamna kazi za kufanya mnashinda vijiweni tu mnakunywa mbege na viroba vya Count Pushkin.Bavicha mkoa wa Arusha imezidi kujipanga kwa kuhakikisha kuwa inawatia vijana ujasiri.Katika kupata vijana wameanzisha Bavicha Cup,kombe litakaloshindaniwa kwenye kata zote za mkoa wa Arusha.Akizungumza na vyombo vya habari ofisini kwake jana mwenyekiti wa Bavicha mkoa Kamanda Nanyaro,ambaye pia ni diwani wa Levolosi,alisema kuwa watatumia njia zote,michezo na njia mbalimbali kuhamashisha vijana kujua na kutetea haki zao
Kesho Jumamosi tuna fainal Kata ya Kingori,na Jumapili tutazindua Longido,hatutalala hadi kieleweke,alisema Nanyaro...
Source www.chademaarusha.com

Hivi mtu kama wewe na aina hizi za comment ukirogwa utalalamika?

BAWACHA, Baraza la vijana Wahuni wa CDM. Hamna kazi za kufanya mnashinda vijiweni tu mnakunywa mbege na viroba vya Count Pushkin.

Huo muda mnaopoteza bure mgekuwa mnafanya kazi mnajenga nchi yenu
sawa lakini sisi tunazungumzia bavicha..BAWACHA, Baraza la vijana Wahuni wa CDM. Hamna kazi za kufanya mnashinda vijiweni tu mnakunywa mbege na viroba vya Count Pushkin.

Huo muda mnaopoteza bure mgekuwa mnafanya kazi mnajenga nchi yenu
BAVICHA, si ndio wahuni watupu ndio mnapanga maandamano wa kwenda kuvamia ofisi za Manispaa ya Arusha mnasomba watu kutoka Kenya Mungiki mlete fujo si ndio.sawa lakini sisi tunazungumzia bavicha..

BAVICHA, si ndio wahuni watupu ndio mnapanga maandamano wa kwenda kuvamia ofisi za Manispaa ya Arusha mnasomba watu kutoka Kenya Mungiki mlete fujo si ndio.

Jaribuni kuvunja amani ya nchi yetu muone

kamloge mama yako aliyekuzaa pumbavu zenu nyie washirikina wakubwa.