pilato93
JF-Expert Member
- Jun 28, 2014
- 6,206
- 6,440
Baunsa wa lachaaz jifunzeni kazi kunyimwa kupewa pesa au kununuliwa pombe sio kujenga uhasama na mteja mteja ndio anafanya wewe ulipwe na upate kazi hiyo unayoifanya mmeniudhi sana sema nimeshindwa jua uongozi wenu unafanyaje kazi maana meneja wenu wana walea ninyi mimi sitafuti pesa kuwapa baunsa bali kuifurahisha familia yangu na mimi mwenyewe yaani bora boardroom wafunguliwe tu kilikuwa kiwanja safi sio hawa jamaa