Baunsa wa bar jifunzeni kazi hasa wa lachaaz

pilato93

JF-Expert Member
Jun 28, 2014
6,206
6,435
Baunsa wa lachaaz jifunzeni kazi kunyimwa kupewa pesa au kununuliwa pombe sio kujenga uhasama na mteja mteja ndio anafanya wewe ulipwe na upate kazi hiyo unayoifanya mmeniudhi sana sema nimeshindwa jua uongozi wenu unafanyaje kazi maana meneja wenu wana walea ninyi mimi sitafuti pesa kuwapa baunsa bali kuifurahisha familia yangu na mimi mwenyewe yaani bora boardroom wafunguliwe tu kilikuwa kiwanja safi sio hawa jamaa
 
Shida yao ni kwamba wanatunisha misuli alafu wanajisahau kutunisha akili.....mabaunsa kwenye sehemu za starehe ni tatizo ambalo wengi hawalioni....kijana mwenye misuli iliyojaa vile kulazimisha kuomba kwa kijana mwenzako ni matumizi mabaya ya akili na kutojitambua utu na thamani yako.

Usifanye maslahi madogo ya kazi yako kuwa kero kwa wengine.
 
Shida yao ni kwamba wanatunisha misuli alafu wanajisahau kutunisha akili.....mabaunsa kwenye sehemu za starehe ni tatizo ambalo wengi hawalioni....kijana mwenye misuli iliyojaa vile kulazimisha kuomba kwa kijana mwenzako ni matumizi mabaya ya akili na kutojitambua utu na thamani yako.....

Usifanye maslahi madogo ya kazi yako kuwa kero kwa wengine.......
 
Baunsa wa lachaaz jifunzeni kazi kunyimwa kupewa pesa au kununuliwa pombe sio kujenga uhasama na mteja mteja ndio anafanya wewe ulipwe na upate kazi hiyo unayoifanya mmeniudhi sana sema nimeshindwa jua uongozi wenu unafanyaje kazi maana meneja wenu wana walea ninyi mimi sitafuti pesa kuwapa baunsa bali kuifurahisha familia yangu na mimi mwenyewe yaani bora boardroom wafunguliwe tu kilikuwa kiwanja safi sio hawa jamaa
Yaani jitu na miguvu yake na mamisuli liniombe hela?, eennhh!!!!,ajabu kweli kweli.Hivi mwanaume unamwombaje hela mwanaume mwenzako?.
 
Wameniudhi sana hawa jamaa kula mipoda yao watusumbue wengine hii si sawa yeye kachahua kazi ya kuzuia fujo adili na fujo sio watu waliotulia mimi sikujui hunijui niachie nafasi hawa jamaa wangejua watu wanawekeza kiasi gani labda wangepata akili
 
Yaani jitu na miguvu yake na mamisuli liniombe hela?, eennhh!!!!,ajabu kweli kweli.Hivi mwanaume unamwombaje hela mwanaume mwenzako?.
Yaaani watu wa ajabu kishenzi kilichoniuzi zaidi nimekunyima kistaarabu tu sina kitu ananikunjia na kunitafutia sababu ya kuonekana nafanya fujo ili apate nafasi ya kutumia mivyuma yake nimemkwepa kiungwana kabisa pesa yangu haiwezi nitesa mie
 
Naona wanaume Feminist wakiume wenye smooth body wamepata Platform ya kuwachamba Masculine Niggas.

Comment za kike kike zina attack miili ya wanaume ilioyakaa kiume na si kuAttack mtu akiyefanya kosa.

NB:
Hii kesi ni one side Smooth Guy tu ndio kaleta kesi tunaomba mlete na huyo Masculine Guy aeleze kwa upande wake na yeye sio kuja kumchafua.
 
Haya sasa Kalapina katokea hapa,nyie akina Mr.Blue/Mr.Softy njooni tena mlambe lambe middomo yenu mbele yake. Wazee wa kusuguliwa miguu baani tyeeeetyeeee.
Nyie Bw.Mdogo siku nyingine Baunsa akizingua usimlazie damu, pambanaaaa. Mwanaume hupaswi kulalamika!
 
Baunsa wa lachaaz jifunzeni kazi kunyimwa kupewa pesa au kununuliwa pombe sio kujenga uhasama na mteja mteja ndio anafanya wewe ulipwe na upate kazi hiyo unayoifanya mmeniudhi sana sema nimeshindwa jua uongozi wenu unafanyaje kazi maana meneja wenu wana walea ninyi mimi sitafuti pesa kuwapa baunsa bali kuifurahisha familia yangu na mimi mwenyewe yaani bora boardroom wafunguliwe tu kilikuwa kiwanja safi sio hawa jamaa
mkuu hapo laachaz ni afadhali kidogo
Fika mbezi mwisho kuna kiclub uchwara kinaitwa kwa god
mabaunsa wa hapo ni hovyo kabisa, yaani wasikuone hata kucheza mziki ukiwa umeshika bia ni kesi, usipowahonga bia ndio kabisa watakutimua nje
 
Back
Top Bottom