MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 15,891
- 40,153
Yanga inakosea sana kucheza ligi kuu ya Tanzania
Uzuri wa Yanga ina wachezaji wa kila aina ya mashindano, kuna wachezaji wa CAF, kuna wachezaji wa NBC Premier league, kuna wa chezaji wa Azam Sports Federation Cup, kuna wachezaji wa friendly matches pia.Yanga inakosea sana kucheza ligi kuu ya Tanzania