cleokippo
JF-Expert Member
- Dec 21, 2014
- 2,074
- 1,703
- Thread starter
- #21
Duh! Hapo sasa itabid nikubaliene na mawazo yenu... maana sion mchangiaj hata mmoja aliyesema arusha inaizid mwanzaHata kwenye ushindani kati ya NBI na DSM, pia Wakenya hupenda kuweka Mombasa na Mwanza kwani ni miji inayokaribiana, ingawa Mombasa inazidi kidogo Mwanza. Ukweli ni kwamba kwa kila mizania, Mwanza iko juu ya Arusha. Kwa hali ya hewa Arusha ni green city. Hata hivyo Mwanza ni kubwa, Mwanza ina population kubwa na kiuchumi Mwanza iko juu ya Arusha(angalau kwa sasa)