Battle: Mke wa ndoa VS michepuko

Battle: Mke wa ndoa VS michepuko

1. Sina takwimu sahihi ni kina nani wanaongoza kuchepuka zaidi, ila naasume wanaume ndo mnaongoza kwa sababu ya excuse yenu ya "All men cheat". Aaminivyo mtu nafsini mwake ndivyo alivyo, so mtu atacheat tu hata kama hakuna sababu. Wanawake wanacheat sana tu, ila sio openly kama wanaume na hawajustify sana cheatings zao

2. Binadamu tumeumbwa na conscious kututofautisha na wanyama. Kuoa/kuolewa hakumfanyi mtu asitamani watu wengine, ila umepewa utashi ili uweze kujicontrol. Mimi naamini katika mke na mume mmoja, kwa sababu hata uruhusiwe kuoa wanawake 100, utakutana tu na wapya watakaokuvutia. Kuwa na partner mmoja na kuwa mwaminifu, sasa hivi na haya magonjwa kila mmoja akichepuka utaipenda hiyo chain yake. Kuwa na wanawake wengi sio guarantee ya mtu kutulia, wapo wanaochepuka kibao tu. Afu mbona wengi hawachepuki na mtu mmoja permanent, wanapuyanga tu huku na kule?. So cha msingi ni kuridhika tu na mwenzi wako no matter what, utalala na wangapi hadi useme nimeridhika?

Wanaochepuka wanazifuatisha tu tamaa zao period. Huko nje utampata A, ukishamzoea utamfuata B then C etc. "Kipya kinyemi", huridhiki. Kama mkeo hakupi unachokitaka, mtafute basi atakayekupa utakacho then tulia naye. Usipojifunza kuridhika utakufa ukiwa kwenye research ya papuchi. Hakuna malaika huko nje

3. Ndoa ni zaidi ya sex, lazima kuwe na mambo mengine ya msingi ya kuwaunganisha apart from sex, hayo ndo yatawasustain siku zile urge zikipungua. With time na majukumu mnajikuta ile fantasy ya sex haiwi kama ndo siku mmetoka honey moon Marry your best friend, mtu ambaye hata bila sex for a while unaweza ukaishi naye kwa furaha . Put God first na mjifunze kurevive your intimacy kabla jini mkata kamba hajapita, datings za siku moja moja mnatokomea tu pasipojulikana kwa muda zinapendeza na zinafufua vilivyojifia. Sio kuleteana zawadi ndo kuliishia siku ya harusi khaa eti now tumezeeka. Fanyeni kwa pamoja vile vitu vilivyowabind wakati mkiwa mnadate .
Nikipewa nafasi ya kuchagua mtu mmoja kutoka JFwa kumwona na kuzungumza nae live,Hakika nitakutaja wewe.
 
there you are.

lakini takwimu zinaonyesha wanaume tunaongoza kutoka nje ya ndoa... nje ya ndoa kwa waliopo kwenye ndoa.

swali ni je, wanaume ndio tuna sababu za kuchepuka?

je ni kweli wanaume wengi ndiyo hawana self control? kwanini inakuwa hivi?
Mimi binafsi naona wanaume wengi wana Tamaa za ngono. Tofaut na wanawake
 
1. Sina takwimu sahihi ni kina nani wanaongoza kuchepuka zaidi, ila naasume wanaume ndo mnaongoza kwa sababu ya excuse yenu ya "All men cheat". Aaminivyo mtu nafsini mwake ndivyo alivyo, so mtu atacheat tu hata kama hakuna sababu. Wanawake wanacheat sana tu, ila sio openly kama wanaume na hawajustify sana cheatings zao

2. Binadamu tumeumbwa na conscious kututofautisha na wanyama. Kuoa/kuolewa hakumfanyi mtu asitamani watu wengine, ila umepewa utashi ili uweze kujicontrol. Mimi naamini katika mke na mume mmoja, kwa sababu hata uruhusiwe kuoa wanawake 100, utakutana tu na wapya watakaokuvutia. Kuwa na partner mmoja na kuwa mwaminifu, sasa hivi na haya magonjwa kila mmoja akichepuka utaipenda hiyo chain yake. Kuwa na wanawake wengi sio guarantee ya mtu kutulia, wapo wanaochepuka kibao tu. Afu mbona wengi hawachepuki na mtu mmoja permanent, wanapuyanga tu huku na kule?. So cha msingi ni kuridhika tu na mwenzi wako no matter what, utalala na wangapi hadi useme nimeridhika?

Wanaochepuka wanazifuatisha tu tamaa zao period. Huko nje utampata A, ukishamzoea utamfuata B then C etc. "Kipya kinyemi", huridhiki. Kama mkeo hakupi unachokitaka, mtafute basi atakayekupa utakacho then tulia naye. Usipojifunza kuridhika utakufa ukiwa kwenye research ya papuchi. Hakuna malaika huko nje

3. Ndoa ni zaidi ya sex, lazima kuwe na mambo mengine ya msingi ya kuwaunganisha apart from sex, hayo ndo yatawasustain siku zile urge zikipungua. With time na majukumu mnajikuta ile fantasy ya sex haiwi kama ndo siku mmetoka honey moon Marry your best friend, mtu ambaye hata bila sex for a while unaweza ukaishi naye kwa furaha . Put God first na mjifunze kurevive your intimacy kabla jini mkata kamba hajapita, datings za siku moja moja mnatokomea tu pasipojulikana kwa muda zinapendeza na zinafufua vilivyojifia. Sio kuleteana zawadi ndo kuliishia siku ya harusi khaa eti now tumezeeka. Fanyeni kwa pamoja vile vitu vilivyowabind wakati mkiwa mnadate .
Binamu unajua bwana daah
 
Mimi binafsi naona wanaume wengi wana Tamaa za ngono. Tofaut na wanawake
Ndiyo maana nasema kuchepuka ambapo kwa lugha nyingine kupenda ngono tofautitofauti kwa asilimia kubwa ni tatizo la asili yetu.
we think more about sex than you guys.

namkatalia heaven kwamba tunalitumia hili kama justification ya kuendelea kuchepuka.
sex drive yetu ni kubwa kuliko yenu. hili hata baiolojia inalisema angalau kwa siku mwanaume huwaza ngono kila siku.
 
Gadem hata mi nawaza sex kila siku and i dont cheat...choices baby choicesss
Make it regular na mkeo
Make her love it....mana wengine we love it naturally so mindset ipo hivo ht km kanikera naona raha tu kutian.a nae
 
Kuna mtu ametoa mfano wa Sulemani alivooa wanawake mamia na masuria maelfu ila kaandika wimbo ulio bora for One Woman....wanaume mnajiendekeza period...especially wale ambao mke yuko available and she is trying her best
Kama kweli unanyimwa home naweza kukuelewa
Ila mtu pia akikataa lazma uangalie y anakataa au y hapendi etc
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Gadem hata mi nawaza sex kila siku and i dont cheat...choices baby choicesss
Make it regular na mkeo
Make her love it....mana wengine we love it naturally so mindset ipo hivo ht km kanikera naona raha tu kutian.a nae
unapingana na nature.

there is no way utaikimbia nature..

sex drives btn us and you... typical different.

niliuliza swali.

wanaume kwenye ndoa ndio tunaongoza kucheat. Je ni kweli wanaume hatuna choices? kwanini wqnawake wawe na choices sie wengi tusiwe nazo.
 
Na kama unadhani mchepuko ni zaidi kwa mkeo oaaa ndo utajua bit.chea are the same.,rather even worse
 
unapingana na nature.

there is no way utaikimbia nature..

sex drives btn us and you... typical different.

niliuliza swali.

wanaume kwenye ndoa ndio tunaongoza kucheat. Je ni kweli wanaume hatuna choices? kwanini wqnawake wawe na choices sie wengi tusiwe nazo.
Ujue unachekesha
Nature rather inaapply sana zamani
Siku hz kwa bao moja hizii ndo manaendekeza michepuko??namkumbuka my ex flank hivii uwiii ni kimeoo afu kinachepuka htr
Mtu bao moja ukifika kwa mkeo eti na we umechoka...yani inakeraaa
Hasa wanaume wa Dar wajitathminiiii....most of u kuchepuka is bcz of ego business sio kwa kua mna nguvu za ku.tomba sana
Wengi wenu wabovuuuuuu wanawake tunawastahiii tu mana mda mwingine unasema hv nanuna nini uyu famba style zake goli moja tu acha akakitembeze sio kesiii
Walobaki na nguvu za bao 3 wallah wachache tena wale wasio na kazi za stress na awe na hela
Ukiwa na hela afu kazi stress jmn dudu hazisimamiii
 
Back
Top Bottom