Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,375
- 56,096
Hapana binamuu!ngoja nilee watoto kwa kweli!sitaki tena moyo wangu walaaaa!bado sanaaBinamu uolewe tu bana, not all men are the same
Hapana binamuu!ngoja nilee watoto kwa kweli!sitaki tena moyo wangu walaaaa!bado sanaaBinamu uolewe tu bana, not all men are the same
hapo nilikuwa namwoonyesha jinsi uchepukaji ulivyo mwingi.Wanaume wengi kuchepuka, haijustify kuwa ni kitu sahihi kufanywa. Still sio kitu sahihi hata kama 1% only ndo hawachepuki
Wewe utakuwa bado kasichana kuna michepuko wake za watu na wana majukumu kushinda wake halaliii na wana watoto mpaka wametukuu tunapishana nao huku guest bubu . Usijiongopee kwamba hawana majukumu.Mimi ni mwanamke na mke mtariwa wa mtu so mchepuko atamshinda mke kwa sababu kuu mbili.
1.hana majukumu yeye hujianda kwa ajili ya kuliwa .
2.pili utakuta ni mdogo kwa mke wa yule bwana.
Michepuko hujiachia nakumpa raha zote muhusika ili arudi .
3. Mchepuko kweli asilimia kubwa sio mtu aliyezaa so bado maujuzi.
Nguvu kuchangamkia kumakinika bado anaweza .
I mean kujituma kupo
So ni challenge kubwa.
Mwanamke wa ndoa mara anawaza ada , chakula ,watoto,usafi,kazi,kila kitu eti nikazi halafu akifika kitandani ni usingizi tu.
Nakimpa mume hajitumi ni basi tu . unakuta mwanaume mpaka akumbukie maujuzi fulani ndio shida imtoke so lazima mchepuko ndio yupo juu.
Maana hilo tu ndio anafikiria huyo mume.
hatuchepuki kwasababu ya mapungufu ya wenzi wetu ndani tu.Kuku Kuku, Jogoo jina Hata Huyo mchepuko siku ukimpa cheo cha mke utaona kuna kitu kimepungua kwake Akili itakutuma ukachepuke Tena.
Najua hilo kuna aina mbili au tatu za michepuko wazee wamama na wasichana .Wewe utakuwa bado kasichana kuna michepuko wake za watu na wana majukumu kushinda wake halaliii na wana watoto mpaka wametukuu tunapishana nao huku guest bubu . Usijiongopee kwamba hawana majukumu.
Ni sawa binamu, ila hiyo "bado sana" ikiisha, sio vibaya tukiufinya mpunga[emoji13] [emoji13] [emoji125] [emoji125]Hapana binamuu!ngoja nilee watoto kwa kweli!sitaki tena moyo wangu walaaaa!bado sanaa
Sio Leo wala mwakani acha niwe mchepuko wa mtu[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji23] [emoji85]Ni sawa binamu, ila hiyo "bado sana" ikiisha, sio vibaya tukiufinya mpunga[emoji13] [emoji13] [emoji125] [emoji125]
Ukishajiaminisha kuwa kucheat ni nature, basi nature lazima ikuite kwa nguvu na utachepuka tu (Aonavyo mtu nafsini mwake ndivyo alivyo). Kill that mindset kwanza, amini kuchepuka sio lazimahatuchepuki kwasababu ya mapungufu ya wenzi wetu ndani tu.
muda mwingine mtu anachepuka akijiuliza hajui sababu na moyoni anajiambia hivi hapo sasa nimefuata nini.
Cc Heaven Sent.
Hehe bina unataka kula vya kuibia, hutaki kujinafasi? You can't do thatSio Leo wala mwakani acha niwe mchepuko wa mtu[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji23] [emoji85]
ila sijawahi.Ukishajiaminisha kuwa kucheat ni nature, basi nature lazima ikuite kwa nguvu na utachepuka tu (Aonavyo mtu nafsini mwake ndivyo alivyo). Kill that mindset kwanza, amini kuchepuka sio lazima
Kila mmoja anachepuka Kwa sababu zake binafsi,hatuchepuki kwasababu ya mapungufu ya wenzi wetu ndani tu.
muda mwingine mtu anachepuka akijiuliza hajui sababu na moyoni anajiambia hivi hapo sasa nimefuata nini.
Cc Heaven Sent.
[emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji12] [emoji12] [emoji12]ila sijawahi.
nitazingatia ushauri.
Akaah!acha tu niibie mbona mbona niliibiwa![emoji3] [emoji3]Hehe bina unataka kula vya kuibia, hutaki kujinafasi? You can't do that
Teh usije tu ukakalishwa kwenye chupaAkaah!acha tu niibie mbona mbona niliibiwa![emoji3] [emoji3]
Kila mmoja anachepuka Kwa sababu zake binafsi,
Mwingine ni hulka yake
Mwingine anaweza akachepuka yule mchepuko akaufanya mke na akatulia asiwe mchepukaji.
Kwa ujumla mahusiano ni mapana mithili ya bahari uwezi ukaongelea Ukayaweka fungu moja mahusiano ni Kama tabia zetu Wanadamu Kila mmoja anayaendesha Kwa namna yake anayoona yeye Yanafaa ukiyaongelea Kwa wingi hutopata jibu sahihi.
itabidi uniamini tu.[emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
[emoji57] [emoji57] [emoji3] [emoji3] [emoji3] mtoto wa mjini miye unaanzaje kukalishwaa?!!yaani sikuja na gari za msaada I'm born here here!!!Teh usije tu ukakalishwa kwenye chupa