Battle: Mke wa ndoa VS michepuko

Battle: Mke wa ndoa VS michepuko

Kaujinga ka mfumo dume
Wanawake na wanaume tumeumbwa tofauti kwa vitu vingi likiwemo la hisia, kwa mwanamke alivyoumbwa akisharidhika na mwanaume mmoja ni ngumu kwake kuchepuka kwanza mwanamke anafanya mapemz kwa sababu mbili tu starehe akiwa na mtu wake anamfeel au mpenz wake na kama atafanya na mtu mwingine basi kwasababu kuna kitu anakitarajia anatumia ngono kama ushawish ila kama hana cha shida na hicho mwanamke kumvulia mtu nguo kisa nyege zimempanda ni ngumu sana ila sisemi hamna kwanza hawapend afanye na mtu halafu ndio iwe bas tena kwa starehe tu..

Kwa wanaume mapenz ya moyoni yaan hisia na kufanya ngono ni vitu viwili tofauti mwanaume anafanya mapenz muda wowote atakapotaman bila hata kumpenda muhusika na hiyo mwanaume haesabu kama ni usaliti sababu kwa wanaume mapenz yapo moyoni...mwanaume akikuambia yupo single sio kwamba hana wanawake au mwanamke anamaanisha aliyenae hampend au hana malengo naye bado kiakil anajiona yupo single hivyo hivyo kwenye cheating as long as hajapunguza upendo kwako anaona anafanya kwa kujifurasha yeye na nafsi yake tu

Ndio maana mwanaume ukimsalit inamuuma na kusamehe ni ngumi sababu anajua wewe umesha hamisha na mapenz na hisia kutoka kwake na kwenda kwa mtu mwingine sababu mwanamke hampi mtu uchi ambae hana hisia nae au labda kama anashida ya hela ya kazi ndio huwa analazimika...lakin mwanaume anaweza kuamsha popo muda wowote hata na baamed na kesho hawajuani..so kwa mwanaume kinacho matter ni upendo sio sio kitendo.
Screenshot_2018-03-29-14-04-03.png
 
Michepuko ni opportunists tu, afu inajua kuna nyumba kubwa so lazima ihakikishe inacompete vya kutosha ijiweke kwenye nafasi nzuri, to prove their worth. Lazima ikuibie ibie na cares sijui mapishi ya nini bila kusahau limbwata la kinyama cha K. So huku ni fantasy zaidi coz nyumba ndogo ipo just to compete, na hakuna mtu anayepumzikaga kwenye competition. Kama anayajua mapenzi kiasi hicho si atafute fresh man amnogeshe hadi amuoe? Kwa nini upoteze ujuzi kwa mtu ambaye possibly hatokuwa mumeo milele?

Afu maisha ya kuishi na mke ni tofauti na kuishi na mchepuko.
Mke unaishi naye ndani ya nyumba, there is more to your relationship than sex, kwa mchepuko sex ndo kiunganishi chenu kikuu. Mnaonana mkimissiana tu na kula good times, no discussion za ada za watoto, homeworks sijui mtoto anaumwa, kodi, baba mkwe kalazwa etc.
Hata mkeo maisha uliyoishi naye kwenye dating ni tofauti na sasa, kule most of times ilikuwa ni good times tu ndo zikakunogea hadi ukamuoa. Na sasa hivi kila wakati unamuona, umemzoea ndo unahisi umemchoka. Muache mkeo uchukue mchepuko uoe afu uone kama zile fantasy mlizokuwa nazo kwenye kuchepuka zitaendelea.

Huwezi kufananisha a family life na vitu vya ajabu ajabu sijui kuchepuka life, wala kumfananisha mke kitu chema na kahaba shimo refu. Ndoa na iheshimiwe na watu wote.
Well said
 
Wanawake na wanaume tumeumbwa tofauti kwa vitu vingi likiwemo la hisia, kwa mwanamke alivyoumbwa akisharidhika na mwanaume mmoja ni ngumu kwake kuchepuka kwanza mwanamke anafanya mapemz kwa sababu mbili tu starehe akiwa na mtu wake anamfeel au mpenz wake na kama atafanya na mtu mwingine basi kwasababu kuna kitu anakitarajia anatumia ngono kama ushawish ila kama hana cha shida na hicho mwanamke kumvulia mtu nguo kisa nyege zimempanda ni ngumu sana ila sisemi hamna kwanza hawapend afanye na mtu halafu ndio iwe bas tena kwa starehe tu..

Kwa wanaume mapenz ya moyoni yaan hisia na kufanya ngono ni vitu viwili tofauti mwanaume anafanya mapenz muda wowote atakapotaman bila hata kumpenda muhusika na hiyo mwanaume haesabu kama ni usaliti sababu kwa wanaume mapenz yapo moyoni...mwanaume akikuambia yupo single sio kwamba hana wanawake au mwanamke anamaanisha aliyenae hampend au hana malengo naye bado kiakil anajiona yupo single hivyo hivyo kwenye cheating as long as hajapunguza upendo kwako anaona anafanya kwa kujifurasha yeye na nafsi yake tu

Ndio maana mwanaume ukimsalit inamuuma na kusamehe ni ngumi sababu anajua wewe umesha hamisha na mapenz na hisia kutoka kwake na kwenda kwa mtu mwingine sababu mwanamke hampi mtu uchi ambae hana hisia nae au labda kama anashida ya hela ya kazi ndio huwa analazimika...lakin mwanaume anaweza kuamsha popo muda wowote hata na baamed na kesho hawajuani..so kwa mwanaume kinacho matter ni upendo sio sio kitendo.View attachment 788130
Unaongelea wanawake wa stone age, siku hizi na sisi tunachepuka tu tukijisikia, na bado tunawapenda waume wetu. Tamaa haina jinsi, wala ukiolewa haimaanishi ndo feelings zako zinafia kwa huyo mume tu, tunatamani pia

Huo ujumbe wa kwenye picha, I've, and will never settle for such nonsense. Kuchepuka kwa heshima ndo upuuzi gani, umletee mwenzio magonjwa eti kisa kuchepuka kwa heshima
 
Ukijiona unachepuka kwa hamu basi mumeo hakukuni vizuri mwanamke akinyooshwa sawa sawa anaweza kukaa hata wiki hataman mwanaume tena ila mwanaume anatengeneza mbegu mzigo kila baada ya masaa kadhaa mabazo zinahitajika kutoka.!
 
Michepuko ni opportunists tu, afu inajua kuna nyumba kubwa so lazima ihakikishe inacompete vya kutosha ijiweke kwenye nafasi nzuri, to prove their worth. Lazima ikuibie ibie na cares sijui mapishi ya nini bila kusahau limbwata la kinyama cha K. So huku ni fantasy zaidi coz nyumba ndogo ipo just to compete, na hakuna mtu anayepumzikaga kwenye competition. Kama anayajua mapenzi kiasi hicho si atafute fresh man amnogeshe hadi amuoe? Kwa nini upoteze ujuzi kwa mtu ambaye possibly hatokuwa mumeo milele?

Afu maisha ya kuishi na mke ni tofauti na kuishi na mchepuko.
Mke unaishi naye ndani ya nyumba, there is more to your relationship than sex, kwa mchepuko sex ndo kiunganishi chenu kikuu. Mnaonana mkimissiana tu na kula good times, no discussion za ada za watoto, homeworks sijui mtoto anaumwa, kodi, baba mkwe kalazwa etc.
Hata mkeo maisha uliyoishi naye kwenye dating ni tofauti na sasa, kule most of times ilikuwa ni good times tu ndo zikakunogea hadi ukamuoa. Na sasa hivi kila wakati unamuona, umemzoea ndo unahisi umemchoka. Muache mkeo uchukue mchepuko uoe afu uone kama zile fantasy mlizokuwa nazo kwenye kuchepuka zitaendelea.

Huwezi kufananisha a family life na vitu vya ajabu ajabu sijui kuchepuka life, wala kumfananisha mke kitu chema na kahaba shimo refu. Ndoa na iheshimiwe na watu wote.
hahahhahaha umechefukwa mbaya but you said it all
 
With time mchepuko anakuwa mke mdogo, so mtifuano lazima uendelee. Wenye uzoefu watuwekee namna ya ku handle hii mambo
 
Wanawake walioolewa wanajisahau nini sasa, mbona wa kwangu yuko vizuri kila siku.
 
Ukijiona unachepuka kwa hamu basi mumeo hakukuni vizuri mwanamke akinyooshwa sawa sawa anaweza kukaa hata wiki hataman mwanaume tena ila mwanaume anatengeneza mbegu mzigo kila baada ya masaa kadhaa mabazo zinahitajika kutoka.!
Jitie moyo mpendwa. Nyie mnavyoenda kuchepuka kwani ni kwa sababu hamridhishwi na wake zenu? Na sisi tunaona watu wapya, tunawadondokeaa
 
Kwani na nyinyi mnaruhusiwa kumiliki waume wengi kama ilivyo kwetu kumiliki mke zaidi ya mmoja, tuanzie hapo kwanza
 
Michepuko imejaaa vizinga tu,natulia na mama yoyoo wng nyumban tunachek world cup kwa bashasha kabsa
 
Umeelewa context ya michepuko tuliyoiongelea
Probably not, BTW most men will prefer to settle with a single wife kwa ajili ya utulivu wa akili kuweza ku manage mambo yao vizuri. If it happens amechepuka, mara nyingi ataji limit kwa huyo mmoja. Wakati mwingine hufanya hivyo ili kuongeza stability kwenye mahusiano yake hasa inapotokea mikwaruzano na mke wake. Kwa kiasi kikubwa wanaume huwa hawako tayari kumwacha mke hata kama kuna misuguano mikubwa namana gani, ndo maana mara nyingi anayeamua kwamba ndoa ivunjike huwa ni mwanamke.
 
Mmh eti anachepuka na mchepuko mmoja tu

Hampo tayari kuachana ila mnawatendea wake zenu msivyotaka kutendewa. Na hivi mnajua wanawake wa Kiafrica tunaabudu sana ndoa, ndo mnawafanyia tu vyovyote. Mkiachwa wala hamchukui round
 
Asiye nacho huhitaji sana akikipata anakiona cha kzi gani.

House girl anafanya kazi zote ila ukimuoa atakataa au atataka msaidizi
 
Mmh eti anachepuka na mchepuko mmoja tu

Hampo tayari kuachana ila mnawatendea wake zenu msivyotaka kutendewa. Na hivi mnajua wanawake wa Kiafrica tunaabudu sana ndoa, ndo mnawafanyia tu vyovyote. Mkiachwa wala hamchukui round
Siyo kuabudu, ndoa ni kiini cha familia thabiti, hao wazungu ambao unafikiri mambo yao ni super wameishia kwenye ndoa za mashoga
 
Back
Top Bottom