Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Where is Bagamoyo? Where is LPG? Where is oil pipeline? Acheni ujinga ya kucount vitu haviko.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Where is Bagamoyo? Where is LPG? Where is oil pipeline? Acheni ujinga ya kucount vitu haviko.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hatuingii mikataba ya ovyo tukismamisha bagamoyo bcz ya mikataba mibovu na sasa mpango wa bagamoyo port umerudi mezani

Ww huwez amini Tanzania inatumia zaidi ya 750m usd expansion of mtwara port, dar port and tanga port na zote zinaenda simultaneously 🀣🀣🀣
 
Umemjibu vizuri πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nimekuliza where is Bagamoyo, sijakuambia uniandikie lnsha. How can you count Bagamoyo as infrastructure project when it's dead.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
LOL the worst of Dar looks decent than the worst of hell

Hizo nyumba zina electricity, sewage systems, tap water na zina a lot of space and fresh air

Hizi ni hell challenge πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 

Attachments

  • download-3.jpg
    13.1 KB · Views: 24
Mwanza inaipiga mombasa vibaya sana. busisi bridge, airport cargo & passenger terminal, meli kubwa, vivuko vikubwa, hotels. Kubwa kuliko ni kwamba sgr terminal watu watapandia ghorofa ya tatu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…