babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 13,424
- 36,033
Halinaga akili hili kumbafu,Jay-Z, Sean Kingston, Sean Pol, Beyonce.......
Hilo famba achana nalo linakupotezea muda
Hahah give me one station better than this design in the whole of Nairobi!
LOL hajui mpaka Michael Jackson nae alishakuja Tanzania for performance?Halinaga akili hili kumbafu,
Toka apokee kichapo baada ya kwenda kuokota okota picha kwenye page za wanaharakati uchwara amekosa content hadi leo hii.
Siku hz bongo tunapawishwa na wasanii wetu tu ukitaka upate hasara bongo mlete msanii wa nje ila ukitaka faida weka kina mondi ali kiba aslay n.k mambo ya kuwasujudia wasanii wa nje kwa ss tumewaachia nyie washamba[emoji3][emoji3]Hatuongelelei event za wasafi za sare omera.....we are talking about international stars .Hela ya Nairobi dunia nzima haichelewi.......
Sent using Jamii Forums mobile app
Nikuletee hasira za nini au umeona nina njaa kama wewe unayehamisha magoli,
Yaani umesema uletewe ambao wamewahi kuja Dar halafu saa hii unahamisha magoli,
Endelea kuficha kichwa kwenye mchanga.
Where is that station? I want to see it.Hahah gime one station better than this design in the whole of Nairobi!
LOL hajui mpaka Michael Jackson nae alishakuja Tanzania for performance?
Aue mziki kenya tangu lini kenya kuna mziki binafsi nawajua wasanii wachache sn wa kenya tena wale wa zamani hawa wa ss ni ushuz mtupu hatuwajui huku bongo ila wao kutwa kucha na wasanii wetuNdio huyohuyo diamond alieua music wa Kenya mumesahau[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
LOL money does not attract international artists but promoters do.Those are TBT. There's no money in Dar to attract international artists.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani hawa wajinga kazi yao ni kuficha vichwa vyao tu kwenye mchanga.LOL hajui mpaka Michael Jackson nae alishakuja Tanzania for performance?
Kwani ulitaka tumfufue aje jana? Ndio maana nimekuita famba, you reason like a chicken 🐔
Kwanza hata parts of his video shooting ya wimbo wake wa Earth ilifanyika Serengeti! ukiacha baadhi ya maneno ya mwimbo wa Liberian girl ya Kiswahili aliyoandikiwa na Mbongo! Nakupenda pia nakutaka pia Mpenzi wangu wee!LOL hajui mpaka Michael Jackson nae alishakuja Tanzania for performance?
Kachange gear angani [emoji3][emoji3] sikia ww nikwambie watz wa ss are very crazy with their home artists ukitaka kupata hasara leta msanii wa nje apa bongoAre these 2019? Mko na shida kweli. Don't you think sisi tukianza kuleta wasani wenye wakuja Nairobi since 2008 si tutajaza server? Please I have only asked you for international artists that came in Dar in 2019.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wenye njaa kama wewe ndio huwa wanalia ovyo na kuhamisha magoli.Mbona unalia? Kama in case there's any that came last year you can bring in here.
Sent using Jamii Forums mobile app
LOL sio ujinga tu, na ushamba piaYaani hawa wajinga kazi yao ni kuficha vichwa vyao tu kwenye mchanga.
Halafu wasanii wao kila siku wanalalamika kuhusu wasanii wa nje kulipwa pesa nyingi kuliko wao 😂😂😂LOL sio ujinga tu, na ushamba pia
Wakenya ni washamba by nature, Yaani washamba haswa
Pelekea Magufuli ujinga wako huko ikulu. In this world everything is revolving around money and that's what the artists are looking for. Before the said artists start packing his or her things s/he must first know the amount of money s/he is going to receive.LOL money does not attract international artists but promoters do.
Kwani ulitaka tumfufue aje jana? Ndio maana nimekuita famba, you reason like a chicken [emoji215]
1980s Tanzania got money to attend the show of MJ while at the peak, Tanzania ya 2020 ishindwe kumleta msanii yeyote duniani?