Hehehehe ππππππ hio pesa iko wap wakat world bank imewaonya juu ya madeni nchi inapumulia mashineMbona barabara za vumbi kuelekea Kasarani jamaniiii....
Halafu, kuna vibanda vibanda na lile vumbi jekundu... Pave your roads guys
Sent using Jamii Forums mobile app
Ss ukiwakuta wanajisifia unaweza sema kenya ni EuropeMbona barabara za vumbi kuelekea Kasarani jamaniiii....
Halafu, kuna vibanda vibanda na lile vumbi jekundu... Pave your roads guys
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata wewe tukikupiga filters utapendeza sana πππ
Shida yako huwa ni kukurupuka, wala hujafuatilia kwanini nimemjibu mbu mbu mbu mwenzako au hujaona mjinga mwenzako kazungumzia kasarani πππThe problem with you is that you don't know what an indoor arena is and I can't blame you on that, I blame your education system. This is the indoor arena we are talking about not the stadium.View attachment 1333677
Sent using Jamii Forums mobile app
hapana, wacha pesa zitoke nje. Haya ni maswala ya kidunia na iko kwa jurisdiction ya UN. Watawafidia (sijui kama ni Kiswahili)So mutaacha hvo hvo watu waangamieπππ
ujinga ni kucompare stadiums built more than 2 decades apart
Ujinga ni kukimbilia kuniquote badala ya kumquote mkenya mwenzako aliyesababisha nimjibu hivo πππujinga ni kucompare stadiums built more than 2 decades apart
There are numerous paved roads leading to Kasarani. Guys must have decided to run through the grass and it was probably during the dry season time nyasi imekaukaMbona barabara za vumbi kuelekea Kasarani jamaniiii....
Halafu, kuna vibanda vibanda na lile vumbi jekundu... Pave your roads guys
Sent using Jamii Forums mobile app
wewe ndio ulienda kucompare indoor arena na stadium. Ujinga huoUjinga ni kukimbilia kuniquote badala ya kumquote mkenya mwenzako aliyesababisha nimjibu hivo πππ
Besides hii stadium kuna ingine ya maana Dar ama Tz?
Hukuona kuwa alizungumzia vitu viwili pale au hufahamu alama za vituo πππwewe ndio ulienda kucompare indoor arena na stadium. Ujinga huo
Kwanini zisiwepo πππBesides hii stadium kuna ingine ya maana Dar ama Tz?
leta picha hapa tujadiliKwanini zisiwepo πππ
Kwasababu GDP inanuka madeni ππ na IMF wamewaonya tayar nchi inaangamiahapana, wacha pesa zitoke nje. Haya ni maswala ya kidunia na iko kwa jurisdiction ya UN. Watawafidia (sijui kama ni Kiswahili)
Hio haituhusu shida zenu pambaneni nazo kama hamuna pesa ni hamuna tuππππujinga ni kucompare stadiums built more than 2 decades apart