Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huyo Ni Mtanzania katweet hivo na kwa kuwa anajua Kenya Ina umaarufu duniani katumia jina Kenya kuimarket Tanzania.
Umaarufu pekee ambao Kunya land inao ni ule wa mchezo wa kitumwa zaid ya hapo hamna kitu ss angalia tofauti [emoji116]

1. Mount Kilimanjaro (found in Tz)
2. Lake Tanganyika (found in Tz)
3. Tanzanite (only in Tz)
4. Serengeti (the most popular national Park in the world)
5. Kiswahili language (well known comes from Tz)
6. Zanzibar (the beautiful & natural sea land in Tz)
7. Ngorongoro crater (amazing landform)
8.....aaahhh niishie hapa mana ni vng mno ss nyie mnawezaje kushndana na Tz km tukiamua km tulivyoamua ss
 
LDC je?
 
Sasa mbna wengi huuliza km tanzania ni mkoa kenya
 
Hii c ndio ile kitu ya ngazi 3

Yn Tz noma sana

Bwawa la ukweli la kuzalisha umeme litapatikana Tz (Stigler's gorge)

Flyover ya kweli ipo Tz(ubungo interchange) co km wale wanaotengenezewa madaraja wanaambiwa flyover [emoji23][emoji23]

Jiji la kisasa kabisa lililopangiliwa lipo Tz (Dodoma)

Ndege kali mpya zczo na kelele brand new co za mkopo kwa EA zinapatikana Tz

BRT in EA ipo Tz

Ss tunasema ogopa matapeli KWA MARA YA KWANZA TRENI YA UMEME AFRIKA MASHARIKI NA KATI ITAPATIKANA TANZANIA TU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…