Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Watu wanafikiri wakipost picha za turkana na kibera itafanya tz ikuwe na high quality of life than kenya wapi kenya ni middle income has better quality of life than tz as always
 
Siku mbayo jnia itakuwa na passenger wengi kuliko jkia na revenue kubwa kushinda jkia ndio muongee SAA hii hakuna kitu mnajenga airport inafanana na warehouse industrial area
 
JNIA imekushinda sasa umehamisha nguo kabatini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Ati imeshinda [emoji23][emoji23][emoji23] Maybe imeshinda kwa
1. Kuleta nyoka ndani ya airport
2. Kuwekelea wasafiri benches
3. Kutoa ama kuingiza goods ndani ya airport using baiskeli
 
Watu wanafikiri wakipost picha za turkana na kibera itafanya tz ikuwe na high quality of life than kenya wapi kenya ni middle income has better quality of life than tz as always

Haka kawimbo kapatiwe chorus sasa[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23].
 
Terminal 111 pekee imefanya mada imebadilika mpaka mnaleta hotels[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],
Hahahha yani terminal 3 tu imenidi wahame kwenye hotels mwengine kafika mwanza sasa😂😂😂😂👏👏👏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…