Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Labda itakuwa turkana huko kwenu ila kwa huku Tz hizo story ulizoleta hakunaga
Ichoboy the snob. You are allergic to poor people. Hebu fika Tanzania kusini ujionee.
People there live in abject poverty.Ukila chipsi na kuku wengine huko hawapati mlo na serikaliyenui inakana kwamba kuna ukosefu wa chakula Tanzani
Mpaka huruma hadi mifugo inakufa kwa njaa[emoji29][emoji29][emoji29][emoji29]

TURKANA KENYA
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
 
Wewe hutawatusi mbwa kama mwenzako? Binadamu yeyote yule hafai kubaguliwa, awe kilema,mwenye njaa au fukara ,awe na upungufu wowote, sisi sote ni binadamu.kuwaita waturkana mbwa na kuuliza kwani hawajafa kisa wana njaa si vizuri.Msinilazimishe kuwatukana mods can ban me4 lyf I don't care
 
Hahahahahahahahahahahaha,,,lia kipolepole! mkenya akichukia mimi na furahi sana...Nyie wakenya ni nuksi kwa Tz.Na mkitaka ni siwaite nyani na nyie msikae muite WATZ bongolala Ni tit for tat basi mwita ubrigado...
 
Pole dadaa....kwa yaliyokukuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…