Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe vipi unafananisha slums za Kenya na high end za Tanzania bwana? Hizo zetu ni slums, hizi zenu ni high end.πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Ndio hiyo Ilala high end neighborhoods.
Kumbe they were comparing our slums with their high-end estates!? Poleni watanzania, sikujua hilo
 
Hahaha...wacha kuumiza hawa majirani zetu hivi...Watasema hapo si nairobi ila ni ulaya. Hawajazoea kuona nyumba kama hizo
 
south africa, mozambique, zimbambwe, rwanda na burundi, congo, angola hujaziona au hujui historia
Mbona uelewa wako finyu hivo? Were those countries colonised by Germany? πŸ˜€πŸ˜€ ama ulitaka nizitaje LDC wenzenu usisikie lonely??πŸ˜€πŸ˜€
 
Wewe unafikiri ni kwanini mtanzania hawezi leta picha ya angani hapa? Wanajua vile mitaa zao zilivyochoka na kukosa mpangilio. Eti hiyo ni myaa ndani ya jiji. Aibu ulioje!
Just google how far to chanika from cbd,
 
So u want us to believe kibera iko 58km from cbd.!!!! Au point yako nini hapa.

Nyumba nzuri yaweza jengwa popote tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…